Tanzanite klm
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 478
- 405
Habari zenu ndugu zangu,.
Tangu mwaka 1971 pesa ilipoteza dhamani yake halisi pale dola ilipokua inathaminishwa na standard gold na silver,.tangu kile kipindi tunaona pesa hazina tena thamani.mfano kwa nchi ya Tanzania shilingi laki moja ya mwaka themanini na laki moja ya leo hii 2016 thamani yake ni tofauti kabisa.,bank zetu duniani zina print pesa tuu,pesa haina thamani halisi ya gold standard.
Mfano leo ukiwa na milion kumi Tsh bank alafu gafla ukatokea mtikisiko wa uchumi au gafla shilingi ikashuka thamani dhidi ya dola,hii itakua ni hasara kwako, mfano hai kipindi cha mkapa milion moja tsh ungeibadili kwa dola 1000$,lakini leo hii ile milion moja ukisema ubadilishe upate dolar 500$.tuu. uhalisia ni kuwa inabidi tufanye kama matajiri na watu waelewa wanavyofanya kwa kununua dhahabu na silver na kuzihifadhi. Nunua gold and silver coin uhifadhi,zina maintain value yake miaka elfu.
Swali sasa kwa Tanzania ni wapi unaweza pata gold na silver coins?