Uwekezaji katika soko la Hisa la Dar es salaam na Mifuko ya UTT

Nimevutiwa na Post hii,

UTT AMIS asset management and investor services, huyu tunamuita fund manager! anachofanya ni kwamba anakusanya pesa kutoka kwa watu mbalimbali then anainvest kwenye securities ! sasa aina ya securities anazoinvest ni anatengeneza hyo mifuko kwa mfano Bond Fund! pesa zote zinazoingizwa humu zinaivestiwa kwenye hatifungani then return inapelekwa kwa walioinvest humo ndani

Kuna mchangiaji amesema soko la hisa linahitaji mtaji mkubwa kuliko UTT AMIS, hili jambo sio kweli! tuangalie maana kidogo ya DSE

Dar es salaam stock Exchange ama kwa kiswahili soko la hisa la dar es salaam , tumeshaliita soko maana yake ni eneo ambalo wauzaji na wanunuzi wanakutana kuuza na kununua bidhaaa,

Bidhaa zenyewe ni nini
1.Hisa
2. Hatifungani ( Treasury bond na Corporate Bond)

ukitaka kuinvest kwenye hisa lazima ununue atleast ya hisa 10! maana yake 165 bei ya crdb x 10 , kama tsh 2,000 hv ! sasa kuna mdau huko nyuma alisema ni gharama, lakini ukitaka kununua hatifungani pesa ya chiuni ni kama mil 1 hv

sitogusia kwa undani lakini tuongelee aina ya mapato kupitia securities zote mbili

1.Hisa
hapa tuna capital gain , maana yake thamani ya hisa inaweza ikakuwa mfano crdb kutoka 165 mpaka 500, maana yake utakuwa umepata faida , au utakuwa unapata gawio la kila mwaka nikimaanisha DIVIDEND ! hapa ndo wengi ambapo wanakosea sana! mtu kama warren buffet ni king of investment kwa sababu ana strategy za long term na target sio Capital Gain bali Dividend! ukiwa na mtaji mkubwa maana yake dividend inakuwa kubwa na kwenye makampuni makubwa Blue chip stocks! yana historia ya kutoa dividend mfano cocacola haijawahi kutokutoa gawio !
Tuendelee, so capital gain kwenye kamouni nyingi reliable huongezeka tu so haina shida ila dividend ya kila mwaka itaendelea hadi itakuja kuzidi amount uliyoinvest na source ya fundds ya wewe ukiwa umelala tu ila hela inaingia, nikimaanisha hela inakufanyia kazi ! haoa nhamna kufukuzana na watumishi hamna sijui kulipia kodi yani hamna headache yoyote, sana sana tatizo kubwa ni pale utapoinvest kkamopuni hovyo hapo utapasuka kichwa ! tafadhali nenda kagoogle maana ya blue chip stocks ! ndo tutaelewana zaidi

2. Hatifungani

hizi ndo the best, ni hela yako tu itayokufanya uishi bila kufanya kazi tena
hapoa tuna hatifungani za serikali na hatifungani za makampuni
mi ntaongelea za serikali tu , ambazo ziko refereed as treasury Bonds/ Government bonds
huwa zinauzwa at discount mfano tsh 95, ila zikimature zinamature 100%
utakuwa unalipwa coupon kila after 6 month , maana ya ke 2 times per year
zipo bond za miaka mingi mingi , lakini mi huwa naadvise ununue ya 20 yrs bond tu
bond ya miaka 20 hainmaanishi kazima ukae nayo 20 years unaweza ukaiuza muda woowte
capital gain yake ni utofauti wa bei uliyonunulia na hadi itakapomature, achana nayo since mi nafundisha watu wawe long term investors
Back to the coupon, 20 yrs bond inatoa 15.49% per year , yaani maana yake asilimia kama saba na kitu kila baada ya miezi sita
najua mtasema ndogo , lakini whats the aim hapa! 1. kutengeneza hela bila kufanya kazi ukiwa umetulia na usilipe kodi
kama per annum ni 15.49% maana yake ndani ya 6 years utakuwa umerudisha hekla yako! je ungekuwa umeinvest kwenye nyumba ndani ya 6 years ungekuwa umerudisha hela yako? kuna gaps na maintance na mambo mengne, nimeintroduce mada ya nyumba coz ndo investment wengi wanaiona reliable !
so twende tutambue thamani yako
wengi mna thamani lakini mhamtambui
by calculation your gross salary x 12 ndo thamani yako kwa mwaka
mfano gross ni 2,000,000 x 12 = 24,000,000! so thamani yako mwaka mzima ni hyo hapo
crazy right , i know yani huko unakowekaga jeshima bar, unakovimba unaendesha gari la mkopo ila matumizi yako hayazidi 24m per year
others wanaweza mkapiga mahesabu yenu na nyie,

Tuendelee so kama ni 24 m , maana ya ni kwamba 15.49% of x = 24,000,0000! piga hesabu maana yake ukikaza ukitafuta hyo hela ! utakaa maisha yako karibia yote unaoata mshahara wako bila kufanya kazi! remember all strategies here are long term! sa hzo mil 200 utapata wap! changanue bongo yako! but u can start slow na kuna njia mbalimbali

kuna weningne huchukua mkopo wa asilimia 8% kwenye saccos then wakweka kwenye bond, then wakatoa difference kama 7% hv, wakajipatia fedha nzuri!

uzi kama huu inabidi uwe na watu wengi, nilikuwa najaribu kuchangamsha tu
Ahsante kwa elimu
 
Back
Top Bottom