Uwaziri wa Dr. Hussein Mwinyi ni halali?

Uwaziri wa Dr. Hussein Mwinyi ni halali?

Ni heri kuuliza kiungwana suala linalokutatiza bila kuleta 'dharau' kwa watu wengine!
Ona sasa!
 
tUNASEMA WAPIGA KURA WALIKUWA WALEWALE,IWEJE AKIPIGA KURA YA MUUNGANO IWE HALALI AKIPIGA YA RAIS WA ZANZ ISIWE HALALI???????????? hapo haijaeleweka
 
Tunawaomba wanasheria wetu tumieni elimu yenu kutujuza watanzania tusiojua Sheria Kwa matukio ya kisheria.ZEC ilifuta uchaguzi Wa Zanzibar lakini tukashangaa kura za urais zilihesabiwa wakati wapiga kura ni wale wale ambao inasemekana kulikuwa Na dosari.Waziri Mkuu kathibitishwa Na bunge bila wabunge kutoka Zanzibar.Jana Mh.Magufuli kamwapisha Dr.Mwinyi kuwa Waziri Kwa kuwa in mbunge toka Zanzibar wakati Zanzibar uchaguzi ulifutwa.Swali he in halali Kwa Waziri Mkuu kuthibitishwa Na bunge bila wabunge Wa Zanzibar?Je ni halali Kwa Dr.Mwinyi kuwa Waziri wakati Zanzibar hakuna mbunge Kwa maana ya uchaguzi kufutwa? Tunaomba ufafanuzi wenu wanasheria wetu.

Ukawa kuna malofa wengi !
 
Issa michuzi alipost juzi mama mmoja mwanasheria akikata mzizi Wa fitna kuhusu NEC na ZEC. Google "tofauti kati NEC na zec" kisha msikilize Hugo mama. utaelewa

Nimemsikiliza huyo mama lakini bado kuna ukakasi. Kisheria NEC na ZEC ni tofauti, lakini wakati wa uchaguzi ZEC alikuwa ni wakala wa NEC huko Zanzibar wakati huku bara Wakurugenzi wa Maendeleo ndiyo walikuwa mawakala na huyu mama hilo analikwepa kuliongelea. Kiini macho ni kuwa ilikuwaje ZEC ikasimamia vizuri kipande cha uchaguzi wa Muungano na kushindwa kusimamia vizuri uchaguzi wa Zanzibar. Inanikumbusha mambo mawili: Elimu haina mwisho (Mwl Nyerere) na Elimu Elimu Elimu (Mhe Lowassa).

<strong>
 
Last edited by a moderator:
Kuelewa na kukubali yaliyo tokea October 25, 2015 na maamuzi ya Jecha na Lubuva kwa pamoja inabidi fikira zako uziweke kando. Mimi sijawaelewa na somo lao siwezi kulielewa kamwe. Ukilielewa utaona uhalali wa Waziri Mwinyi na usipo lielewa utashangaa uhalalu wake. Lakini kwa Tz inaonekana hakuna lisilo wezekana. Imagine wabunge wa viti maalum kutokea Zanzibar wanakuwa "madiwani halali" DSM. Sasa hii ni kazi tu pia!!!!!
 
Wadau kuna swali linaniumiza kichwa juu ya uteuzi wa Dr. Huseein Mwinyi kuwa Waziri katika serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Dr. Hussein Mwinyi ni mwakilishi toka Zanzibar ambapo Uchaguzi umefutwa...kwa tafsiri ya kisheria uwakilishi wake ni wa utata...itakuaje pindi uchaguzi utakaporudiwa na Dr. Hussein Mwinyi kushindwa kutetea kiti chake?

wajuzi wa sheria tunaomba muungozo wenu hapa maana waandishi wetu hawajui kuibua issues wao wana report events..

Ivi ukawa mna akili timamu kweli nani kakuambia mwinyi ni Muwakilishi?
 
Mama Mdogo Hapo Juu Umeua Kila Kitu."nyama Ya Kuku Na Nguruwe Kupikwa Chungu Kimoja,baada Ya Kuiva Inakuwa Kuku Halali Ila Nguruwe Haramu'' Job True True!!
 
Last edited by a moderator:
Wadau kuna swali linaniumiza kichwa juu ya uteuzi wa Dr. Huseein Mwinyi kuwa Waziri katika serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Dr. Hussein Mwinyi ni mwakilishi toka Zanzibar ambapo Uchaguzi umefutwa...kwa tafsiri ya kisheria uwakilishi wake ni wa utata...itakuaje pindi uchaguzi utakaporudiwa na Dr. Hussein Mwinyi kushindwa kutetea kiti chake?

wajuzi wa sheria tunaomba muungozo wenu hapa maana waandishi wetu hawajui kuibua issues wao wana report events..
Nafikiri Mh Mwinyi ni mbunge siyo mwakilishi!
 
Sio njaa tu bali alikua kavuta bange iliyochanganywa na sigara ya nyota, Mavi ya mbuzi na kinyesi cha pig
 
Huyu mama wa Kihindi atabakia kuwa Muhindi tu, anajipendekeza tu. Kikinuka ndio wa mwanzo hao kutowa passport za kwao kukimbia nchi. Sababu pekee ya kuyahalalisha matokeo ya Ubunge ni pale baada ya mwentekiti wa NEC kusema hatambui kufutwa kwa uchaguzi wa Zanzibar.

Tusidanganyane, process ni moja na wasimamizi ni wamoja. Huyu mama atwambie basi ofisi ya NEC Zanzibar iko wapi? Kama ni process mbili tofauti, jee kuna mawakala wa vyama wawili kila chumba kwa kila chama? Waliopiga kura za Raisi wa Zanzibar wote wamepiga kura ya Ubunge. Kama wamezidi kwa Raisi wa Zanzibar basi watakuwa wamezidi kura za wabunge pia. Maslahi binafsi wameeka mbele hawa wenzetu. Nchi kama Myanmar, Venezuela ambao ni hardliners zaidi ya CCM wote wamekubali kushindwa. Tusije kumtafuta mchawi...
 
Nimejifunza kitu hapa. kitu kipya kabisa. 1.kuna wenye hoja zenye mashiko na kuna.
2.Wenye jazba.wasioelewa kitu.ila nahisi wote wako sahihi.
 
Back
Top Bottom