wambagusta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 2,840
- 2,329
Usipende kuhoji visivyo hojika! Hila nakumbuka kuna best angu mmoja alishawi kusema kwamba hao mawaziri alio watehuwa bahadhi yao ni zawadi kwa chama! Hivyo usishangae bro
Tunawaomba wanasheria wetu tumieni elimu yenu kutujuza watanzania tusiojua Sheria Kwa matukio ya kisheria.ZEC ilifuta uchaguzi Wa Zanzibar lakini tukashangaa kura za urais zilihesabiwa wakati wapiga kura ni wale wale ambao inasemekana kulikuwa Na dosari.Waziri Mkuu kathibitishwa Na bunge bila wabunge kutoka Zanzibar.Jana Mh.Magufuli kamwapisha Dr.Mwinyi kuwa Waziri Kwa kuwa in mbunge toka Zanzibar wakati Zanzibar uchaguzi ulifutwa.Swali he in halali Kwa Waziri Mkuu kuthibitishwa Na bunge bila wabunge Wa Zanzibar?Je ni halali Kwa Dr.Mwinyi kuwa Waziri wakati Zanzibar hakuna mbunge Kwa maana ya uchaguzi kufutwa? Tunaomba ufafanuzi wenu wanasheria wetu.
Wadau kuna swali linaniumiza kichwa juu ya uteuzi wa Dr. Huseein Mwinyi kuwa Waziri katika serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Dr. Hussein Mwinyi ni mwakilishi toka Zanzibar ambapo Uchaguzi umefutwa...kwa tafsiri ya kisheria uwakilishi wake ni wa utata...itakuaje pindi uchaguzi utakaporudiwa na Dr. Hussein Mwinyi kushindwa kutetea kiti chake?
wajuzi wa sheria tunaomba muungozo wenu hapa maana waandishi wetu hawajui kuibua issues wao wana report events..