Sio yeye tu aliye mhanga wa pesa chafu ya E.L. Wako wengi. Huyu mzee anajua kutumia pesa yake dhidi ya watu wanaofichua maovu yake. Kumbuka wakati ule CCM walipotaka kumnyang'anya kadi ya uanachama Bw. Sitta kisa karuhusu ripoti ya Richmond ijadiliwe bungeni. Hiyo ni baada ya kuwapa pesa nyingi wajumbe wa NEC. Halafu kwenye mapendekezo wa wajume CCM wilaya kuhusu uwezo wa walioomba kugombea ubunge Sitta apata zero vile vile Mwakyembe zero kisa pesa imetoka ili jamaa wasirudi bungeni. Usisahau Sumaye alipotaka kuingia NEC ya CCM huyu E.L katoa pesa kumfadhili mtu ili amshinde Sumaye na kweli akafanikiwa. Wahanga wa pesa chafu ya E.L ni wengi sio Selelii peke yake