Uwaziri Mkuu ulivyowagombanisha Sitta na Lowassa

Uwaziri Mkuu ulivyowagombanisha Sitta na Lowassa

Vp MKUU VIONGOZI WAKO WA CHADEMA WAO HAWAKUPIKA MAJUNGU KUHUSU EDO????ebu anzaa kuwaambia wao watubu kwanza....
mimi ni mwana ccm,lakini nimeamua kuwa msema kweli niwe mpenzi wa mungu
 
Muacheni aende tuu mana Mungu ameona yy ndiye chanzo.......... Pale kati
 
nikisikia kifo natetemeka afu nawaza hivi wale waliomuita lowasa, marehemu, Mara jeneza wao wana moyo gani? we mungu wasamehe time will tell
Wamebaki wanne tu , watatu bara , mmoja zanzibar .
 
Ndio maana mwenyekiti wa ile kamati ya uchunguzi wa ile ripoti leo kalia saaana bungeni daaah kweli mungu yupo na akiamua kukuweka wazi anakuweka tuuuuu..
 
Mnaosema Edo hajahudhuria kumbukeni kesho ndo mazishi yanafanyika kule Urambo,hivyo natumaini atakuwepo kumzika Sitta.
 
...watu wabaya hawa Mungu anawaonyesha adhabu...kwamba hujafa hujaumbika...wanawafanyia fitna wenzao na kusahau kwamba kuna kufa....ona sasa tezi dume limemwondoa jamaa...wakati bosi wake jk anahangaika na kuchongwa tezi dume lake yeye sitta la kwake alikuwa amekalia huku akijipanga kugombea urais...haya madaraka haya mh... Madaraka yanawafanya watu kuwa mahayawani yani...
 
Adhabu ya dhambi walizomtendea Lowassa itawatafuna moja baada ya mwingine,na hakuna atakaye salia.Mh.alitaka kuongea na waandishi lakini hakufanikisha.
Wengine waliohusika kummaliza Lowassa kisiasa wajiwahishe kuongea naye mapema kabla safari yao kufika.
 
Reference.
 
Back
Top Bottom