K KATIBUA JF-Expert Member Joined Feb 10, 2014 Posts 288 Reaction score 63 Oct 21, 2014 #1 Miaka mingi watu niliwaskia wakihusisha huu uwanja na jeshi ktk tafIti nimegundua si mali ya jeshi ni wa serikali ya JMT
Miaka mingi watu niliwaskia wakihusisha huu uwanja na jeshi ktk tafIti nimegundua si mali ya jeshi ni wa serikali ya JMT
D Dorogo JF-Expert Member Joined Oct 18, 2012 Posts 273 Reaction score 35 Oct 21, 2014 #2 Eti sio wa jeshi ni wa serekali ya JMT ? Kwani jeshi ni nani?
K KATIBUA JF-Expert Member Joined Feb 10, 2014 Posts 288 Reaction score 63 Oct 21, 2014 Thread starter #3 Uwanja ulijengwa kabla ya JWTZ aijazaliwa lilikuwa ni eneo lilitengwa kwaajiri ya uwanja wa ndege.
K KATIBUA JF-Expert Member Joined Feb 10, 2014 Posts 288 Reaction score 63 Oct 21, 2014 Thread starter #4 JWTZ, POLISI, SKAUTI, MGAMBO nk uhutumia kwenye shughuli za kitaifa tu sio za kijeshi!
S Sangomwile JF-Expert Member Joined Aug 17, 2012 Posts 3,227 Reaction score 1,105 Oct 21, 2014 #5 Ndio kwanza nakusoma wewe kwamba ni uwanja wa jeshi!au kwakuwa unaona parade zinafanyika pale?
K KATIBUA JF-Expert Member Joined Feb 10, 2014 Posts 288 Reaction score 63 Oct 21, 2014 Thread starter #6 Dorogo said: Eti sio wa jeshi ni wa serekali ya JMT ? Kwani jeshi ni nani? Click to expand... Mali ya JWTZ sio ya POLISI
Dorogo said: Eti sio wa jeshi ni wa serekali ya JMT ? Kwani jeshi ni nani? Click to expand... Mali ya JWTZ sio ya POLISI