Uwanja wa pooltable unahitajika haraka iwezekanavyo

Uwanja wa pooltable unahitajika haraka iwezekanavyo

Niamini

New Member
Joined
Nov 26, 2014
Posts
4
Reaction score
0
Habari zenu jamani kwa mwenye ule uwanja wa kuchezea pooltable naomba tuwasiliane nauitaji haraka sana maana niliokua nikiutumia umeisha nna imani nimeeleweka namba yangu 0656899091 nipo dar es salaaam
 
Mkuu hembu andika vizuri,
Uwanja wa Pooltable we umeuona wapi.Maana wengine hadi ndani ya nyumba ukumbini wanachezea.
Halafu unasema ule uliokuwa ukiutumia umeisha,aiseeeee huo uwanja au sabuni
 
Back
Top Bottom