Ndege kwenda Morogoro ukitokea wapi sasa??Wakuu ninaomba kujua ulipo uwanja wa ndege wa mkoa wa Morogoro na kama haupo ni kwa nini wakati moro ni mkoa wa kibiashara.
Ukutokea mwanza au kigomaNdege kwenda Morogoro ukitokea wapi sasa??
Hivi alikufa lini yule?Upo Kihonda....umeota nyasi hatari....toka Koreni afe basi uwanja umekosa mtumiaji.
Miaka 10 ijayo ntakuwa nautumia mimi.
Aisee [emoji3][emoji3]UShajiuliza wa singida uko wapi?
Abiria wa Kampala wanashukia Entebbe.Wakuu ninaomba kujua ulipo uwanja wa ndege wa mkoa wa Morogoro na kama haupo ni kwa nini wakati moro ni mkoa wa kibiashara.
Hiyo itakuwa ni airstrip na siyo airport.Upo Kihonda....umeota nyasi hatari....toka Koreni afe basi uwanja umekosa mtumiaji.
Miaka 10 ijayo ntakuwa nautumia mimi.
Hiyo ni airstrip nna siyo airport, hata Mbuga ya Mikumi IPO airstrip.Huo hapo mleta mada!View attachment 2637359
Upo GineryUShajiuliza wa singida uko wapi?
Kwa nlivowahi soma mahala flani Moro ni nation military airbase strategic area.Wakuu ninaomba kujua ulipo uwanja wa ndege wa mkoa wa Morogoro na kama haupo ni kwa nini wakati moro ni mkoa wa kibiashara.