Uwanja wa ndege wa mkoa wa Morogoro upo wapi?

Uwanja wa ndege wa mkoa wa Morogoro upo wapi?

Kama Wadau Wengi Walivyosema Upo Uwanja Wa Ndege Maeneo Ya Kihonda Ila Hautumiki Wakati Mwingine Ndege Ndogo Hutua Hapo Morogoro
 
Morogoro ni mji wa kijeshi ule kuna dhana nzito za kijeshi pale

Hii ndo sababu ya kutoweka uwanja wa ndege ndani ya morogoro sijajua mantiki haswa ya kutoweka airport in morogoro

Labda tuangalie na Nchi za wenzetu kma ile mikoa ya kijeshi kma morogoro kuna uwanja wa ndege?
 
Ukifika Radar pale JNIA watakueleza kwanini
 
Nashangaaga kweli yani.
Kama morogoro kuna military bull shit mbna mikumi uwanja wa ndege upo?

Nchi ya Ajabu hii
 
Kwa nlivowahi soma mahala flani Moro ni nation military airbase strategic area.

"SINAUHAKIKA SANA"
Ni kweli, mji wa ndege za kijeshi na kuna uwanja kule ngerengere mkubwa sana na midege yote ya kivita kule. Hata ndege ya kiraia ikikosea kupita lile anga inaweza dunguliwa dk yoyote.
 
Upo Kihonda....umeota nyasi hatari....toka Koreni afe basi uwanja umekosa mtumiaji.

Miaka 10 ijayo ntakuwa nautumia mimi.
Hahaaaaa, umenikumbusha mbali sana uliposema Koren. Jamaa alikuwa mmiliki wa kiwanda cha tumbaku na alikuwa mkimbiza Magari maarufu sana Moro kipindi cha nyuma.
 
Back
Top Bottom