Uwanja wa ndege wa kimataifa kujengwa kijiji cha burunga wilayani serengeti ni dalili za ufisadi

Patriote

JF-Expert Member
Jul 13, 2011
1,718
1,047
KAMPUNI ya Singita Grumeti Reserves , inayomiliki hoteli ya nyota tano ya Sasakwa imeahidi kuchangia ujenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa. unaotarajiwa kujengwa katika Kijiji cha Burunga, wilayani Serengeti.

Ahadi hizo zilitolewa juzi na Ofisa Maendeleo ya Jamii wa kampuni hiyo, Richard Ndaskoi, baada ya kusaini makubaliano kuhusu kampuni yake, kusaidia utekelezaji wa miradi ya jamii.Makubaliano hayo ni kati ya Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti na kampuni hiyo, inayoendesha shughuli zake ndani ya kampuni hiyo.

“Suala la uwanja wa ndege wa kimataifa limo ndani ya makubaliano hayo ,uwanja si wa kampuni lakini kwa kuzingatia kazi za utalii zinazofanywa na kampuni, kampuni itachangia ujenzi huo na katika hatua za awali imelipa Sh400 milioni kwa ajili ya fidia kwa wananchi watakaopisha ujenzi wa uwanja,”alisema.

Napata shida kuelewa ni kwanini kijiji cha Burungi kimeweka ujenzi wa kiwanja cha ndege tena cha kimataifa katika vipaumbele vyake?? Hapa nadhani kijiji kimetumika kutimiza matakwa ya Mwekezaji mkubwa wa kimarekani na wahujumu uchumi wa nchi hii. Kampuni inasema "itachangia" 400mil, je mjenzi hasa wa kiwanja hicho ni nani?????Kijiji cha Burungu/Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti/Serikali kuu?? Kama serikali ilishindwa kuzuia utoroshwaji wa wanyamapori wetu hapo KIA kweupeeeeeeee, hivi itaweza kweli kuzuia utoroshwaji wa madin ya nyamongo, na wanyamapori wa Serengeti, ikorongo-grumeti na rasilimali nyingine??? Huo uwanja wa ndege wa kimataifa hasa utamnufaisha nani huko maporini????Mbona serengeti, grumeti game reserve kuna viwanja vya kutosha tu kwa ajili ya shughuli za watalii??kwanini hadi kiwe kiwanja cha kimataifa????Ndugu zangu watanzania, haya ni maandalizi tu yakuibiwa rasilimali zetu. Je mnadhani tanzania inahitaji kiwanja cha kimataifa kujengwa katika kijiji cha Burunga,kweli kiwanja cha ndege cha aina hii ni kipaumbele kwa sasa wakati nchi haina barabara za uhakika za kuunganisha vijiji achia mbali mikoa?????????????Toa maoni yako kuhusu hili.

Source Mwananchi Friday, 07 October 2011
SGRi yaahidi kuchangia ujenzi uwanja wa ndege
 
Acha mawazo mgando wewe
 
Tukiwa na imani ya 'ufisadi' hatutaendelea kamwe. Imani potofu ni adui wa maendeleo.
 
KIa sio kizuri hivyo, now wajenge kipya porini kwa matumizi ya nani? Hizo pesa waje warekebishe nazo KIA kwanza, maana KIA ndio kitovu cha utalii.. N from KIA wachukue ndege ndogo za utalii waende huko mbugani, na serengeti si tayari ina "air strip"? Sijui nimekosea jina. Serengeti ndege ndogo za kitalii zinatua na kupaa kama ilivyo kwa Loliondo (Waso). Hii Kujenga Airpot Kubwa yatue madege makubwa porini wakati tour operators wako mijini hainiingii akilini, au ndio wanataka kuamisha wanyama kirahisi?

Wajenge uwanja wa Arusha Basi kama tatizo ni ukaribu? Au wajenge Tarime.

There Is Something Fishy Hapa, Walianza Na The Serengeti Highway. Usibishe Kama Hujui Jografia Ya Serengeti Na Mazingira Yalozunguka
 
Acha mawazo mgando wewe
Unatakiwa ulumbane na hoja sio mtu. Kitu kizuri hapa ungeelezea mawazo yako mazuri na sio kusema mawazo ya mwenzio yapoje halafu hutoi mawazo yako. Huoni kuwa hapo mwenye mawazo mgando ni wewe ambaye umeshindwa kuwa analytical na kuona hapa kunashida???? Ili kuona tatizo lilipo katika hoja hii nadhani unahitaji kufikiria beyond limits.
 
Tukiwa na imani ya 'ufisadi' hatutaendelea kamwe. Imani potofu ni adui wa maendeleo.
Tumeshajengwa kuwa na Imani hiyo, so ili imani hii ipotee viongoz wetu lazma wawe wawazi, kwanini International Airport Burunga wakati hata majiji yote hayana viwanja hivyo??Tourism is a very fragile industry, if it collapses uwanja huo atautumia nani????hapa ipo shida tu. Hiki kiwanja ni matakwa ya mwekezaji way back.Kwa nini wawekezaji wainfluence decisions wa nchi??? Akija mwingine akitaka kujenga hotel/ airport kwenye kambi ya jeshi nchi ikimkubalia we huoni kuwa kuna tatizo hapo???Was the development of the airport at Burunga village in the national master plan au ndo kukurupuka ???
 
KIa sio kizuri hivyo, now wajenge kipya porini kwa matumizi ya nani? Hizo pesa waje warekebishe nazo KIA kwanza, maana KIA ndio kitovu cha utalii.. N from KIA wachukue ndege ndogo za utalii waende huko mbugani, na serengeti si tayari ina "air strip"? Sijui nimekosea jina. Serengeti ndege ndogo za kitalii zinatua na kupaa kama ilivyo kwa Loliondo (Waso). Hii Kujenga Airpot Kubwa yatue madege makubwa porini wakati tour operators wako mijini hainiingii akilini, au ndio wanataka kuamisha wanyama kirahisi?

Wajenge uwanja wa Arusha Basi kama tatizo ni ukaribu? Au wajenge Tarime.

There Is Something Fishy Hapa, Walianza Na The Serengeti Highway. Usibishe Kama Hujui Jografia Ya Serengeti Na Mazingira Yalozunguka
You are right, kwa mchambuzi wa mambo hapa atagundua tu kuwa wizi haupo mbali sana kutokea.nchi yetu tunaijua, viongozi wetu tunawajua. Ujenzi wa hiki kiwanja hauna maslahi kwa taifa na wananchi wake.
 
KAMPUNI ya Singita Grumeti Reserves , inayomiliki hoteli ya nyota tano ya Sasakwa imeahidi kuchangia ujenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa. unaotarajiwa kujengwa katika Kijiji cha Burunga, wilayani Serengeti.

Ahadi hizo zilitolewa juzi na Ofisa Maendeleo ya Jamii wa kampuni hiyo, Richard Ndaskoi, baada ya kusaini makubaliano kuhusu kampuni yake, kusaidia utekelezaji wa miradi ya jamii.Makubaliano hayo ni kati ya Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti na kampuni hiyo, inayoendesha shughuli zake ndani ya kampuni hiyo.

“Suala la uwanja wa ndege wa kimataifa limo ndani ya makubaliano hayo ,uwanja si wa kampuni lakini kwa kuzingatia kazi za utalii zinazofanywa na kampuni, kampuni itachangia ujenzi huo na katika hatua za awali imelipa Sh400 milioni kwa ajili ya fidia kwa wananchi watakaopisha ujenzi wa uwanja,”alisema.

Napata shida kuelewa ni kwanini kijiji cha Burungi kimeweka ujenzi wa kiwanja cha ndege tena cha kimataifa katika vipaumbele vyake?? Hapa nadhani kijiji kimetumika kutimiza matakwa ya Mwekezaji mkubwa wa kimarekani na wahujumu uchumi wa nchi hii. Kampuni inasema "itachangia" 400mil, je mjenzi hasa wa kiwanja hicho ni nani?????Kijiji cha Burungu/Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti/Serikali kuu?? Kama serikali ilishindwa kuzuia utoroshwaji wa wanyamapori wetu hapo KIA kweupeeeeeeee, hivi itaweza kweli kuzuia utoroshwaji wa madin ya nyamongo, na wanyamapori wa Serengeti, ikorongo-grumeti na rasilimali nyingine??? Huo uwanja wa ndege wa kimataifa hasa utamnufaisha nani huko maporini????Mbona serengeti, grumeti game reserve kuna viwanja vya kutosha tu kwa ajili ya shughuli za watalii??kwanini hadi kiwe kiwanja cha kimataifa????Ndugu zangu watanzania, haya ni maandalizi tu yakuibiwa rasilimali zetu. Je mnadhani tanzania inahitaji kiwanja cha kimataifa kujengwa katika kijiji cha Burunga,kweli kiwanja cha ndege cha aina hii ni kipaumbele kwa sasa wakati nchi haina barabara za uhakika za kuunganisha vijiji achia mbali mikoa?????????????Toa maoni yako kuhusu hili.

Source Mwananchi Friday, 07 October 2011
SGRi yaahidi kuchangia ujenzi uwanja wa ndege

KIA uwanja ni mbovu sana for sure hata nashangaa why wanakimbilia huko Serengeti .Wacha tuone mipango yao hawa watafuna nchi .
 
Kwa kweli katika hili wananchi wazalendo tusaidiane kumulika mwizi....
 
Back
Top Bottom