iparamasa
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 13,437
- 14,924
Nimesoma kwenye mitandao kwamba serikali inatenga bilioni mbili na nusu kwa ajili ya uwanja wa ndege chato,kiuchumi,uwanja wa ndege mwanza uko kimkakati zaidi kwa maana ya abiria,kikanda,ni mahali ambapo ndege kutoka Uganda,Rwanda,Burundi,Kenya,Kongo,na sehemu mbalimbali hutua,pia ni makutano ya mikoa mingi,uwanja huu umepangiwa tsh ngapi? Nataraji bajeti ya uwanja huu haitapungua bilioni 50 kwa kuwa unaingizia nchi mapato mengi kuliko chato ambako ni pembezoni sana.....wana mwanza wako kimya
N.B: kila Mwaka uwanja wa ndege mwanza hufurika maji kipindi cha mvua,uwanja wa musoma ni hovyo,shinyanga hovyo,geita hovyo,bukoba hovyo,simiyu hovyo
N.B: kila Mwaka uwanja wa ndege mwanza hufurika maji kipindi cha mvua,uwanja wa musoma ni hovyo,shinyanga hovyo,geita hovyo,bukoba hovyo,simiyu hovyo