Uwanja wa Ndege(JNIA) wafungwa kwa muda usiku

Ungetitajia muda uliofika na kuondoka na hata shirika gani la ndege watu wajue tu nao wapige simu kucheki safari zao.

Poleni kwa usumbufu, haswa kwa mgonjwa
Tunashukuru Mungu walilala Hotelini kwa siku mbili....Hee kweli usafiri wa ndege ni "Guarantee".Yaani mtu unakaa hapo tu Segerea kupitia majumba sita,badala ya kuambiwa urudi nyumbani unaambiwa twende hotelini,tena hoteli ya nyota tano.Na mkononi unapewa $250 kwa siku kwa ajili ya matumizi ya hapa na pale...Yaani in two days unajikuta na $500!!Kanauli kama hujalipa hiviiiiii......Ama hakika usafiri wa ndege ndio weneywe
Asante sana mkuu....Hata nafuu atakuwa kapata kabla ya kuondoka ha ha ha ha ha ha
 
Mkuu umafaid ile mbaya .. Piga misele angani kana popo vile... Ingekua utotoni tungesema umekula uroda
Yaani tulifaidi kweli mkuu....Piga sana misele kushoto na kulia!!Mara baharini mara nchi kavu,Ukichungulia hivi unaanbiwa hii ni Mafia,kidogo unaambiwa tupo Bagamoyo mara Kisarawe.....Mwishoni Zanzibar
Looooh.....Kweli sio kila janga ni maafa,mengine ni furaha...Safari ya dakika55 ikawa 2.5hrs
 
Tunashukuru Mungu walilala Hotelini kwa siku mbili....Hee kweli usafiri wa ndege ni "Guarantee".Yaani mtu unakaa hapo tu Segerea kupitia majumba sita,badala ya kuambiwa urudi nyumbani unaambiwa twende hotelini,tena hoteli ya nyota tano.Na mkononi unapewa $250 kwa siku kwa ajili ya matumizi ya hapa na pale...Yaani in two days unajikuta na $500!!Kanauli kama hujalipa hiviiiiii......Ama hakika usafiri wa ndege ndio weneywe
Asante sana mkuu....Hata nafuu atakuwa kapata kabla ya kuondoka ha ha ha ha ha ha

Airline gani hiyo nasi tuivizie tujaribu kusafiri kwenda nje ya nchi...
 
Wakuu leo nilikuwa namsindikiza binamu yangu kwenda India kwa dhumuni la matibabu,lakini tumefika Uwanja wa Ndege wa JNIA tumepata taarifa za "kufungwa" kwa uwanja na safari kuhairishwa mpaka hapo tutakapotaarifiwa,na habari zinazoendelea ni kuwa abiria wanatakiwa kupelekwa hotelini ili kusubiri utaratibu mwingine.

Mpaka sasa haijajulikana haswaa swala ni nini?Wenye info za huko ndani mkuu Pdidy wa JNIA hebu tupe kinachoendelea hapo.

Picha:

View attachment 368438
View attachment 368439
Duhhh!!kumbe ndio iliburuzika hivii
 
Back
Top Bottom