barafu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 6,726
- 32,818
Lkn kumbuka lami ya runway si sawa na lami ya kupitisha Passo na Yutong mkuu TasoWatanzania wanaganda kwenye ma foleni mpaka angani.
Runway mpya ni sawa na kujenga kibarabara chenye urefu wa kituo kimoja cha daladala away, Kinondoni Manyanya mpaka Kinondoni Mwembejini. Kinatushinda.
British Airways walifuta route ya kuja Bongo kwa sababu they were losing money. Hawa waliobaki wakija siku nyingine tukawazungusha zungusha hewani wanapoteza mafuta kwa sababu tuna ki runway kimoja watasepa.