"Uwanja wa Kisasa Jangwani"

"Uwanja wa Kisasa Jangwani"

mambumbumbu fc naona bila kuwasema waume zenu Yanga genye hazi wakatiki zinakuja kama mvua,subirieni liborooo hiyo kesho
 
namuona Bysange na mwavuli wake hapo
 
mambumbumbu fc naona bila kuwasema waume zenu Yanga genye hazi wakatiki zinakuja kama mvua,subirieni liborooo hiyo kesho

mara hii umeshasahau kipigo cha Mtani JEMBE? ngoja nikuongezee dozi kesho
 
ndio maana mmewaacha wachezaji wa simba akina okwi, kaseja etc sbb wao si wazee wa madimbwini
....mambo ya kuhonga mabasi ili tupate ubingwa hatuyawezi so ligi hailipi tena,tupa kule okwi,kaseja na mamluki wote,vijana sasa ni kuogelea kwenda mbele,....
 
waanze kufuga samaki na vyura waongeze kipato cha club
 
Yanga bhana...walikuwa wanataka kwenda kumuona rais wapewe kibali cha kujenga hapo....
 
Labda ndivyo waonavyo ila pale watu wamezibua vyooo kibao so yale ni maji ya vyoo

...unajua maji ya vyoo ni mazito kidogo kuliko masafi,so mazoezi tukifanyia kwenye maji mazito vijana wanakuwa wepesi sana. olymic ijayo tarajieni dhahabu za kutosha, vijana jinsi vanavyojituma kwenye maji taka...si mchezo..!!
 
Kamati ya mbunge wa chalinze itajenga uwanja wa ghorofa!!!
 
Swimming pool hilo.

Waaniazishe mradi wa kufuga samaki itawaingizia mapato.


Mkuu ni ufugaji wa vyura.... naskia wana deal kuliko hiyo biashara ya ufugaji wa kambare...
 
SIMBA NA YANGA BANA...... Eti Rage nae alikuwa anatuhimiza mashabiki wa Simba twende Bunju na mafyekeo, majembe,sururu kuandaa uwanja wetu... unaweza kupiga mtu kofi hakyanani....:frusty:
 
Back
Top Bottom