Alikuwa mwizi hyo usinge bak na kitu mkuuNashindwa kukuelekeza, ila huo uchochoro unaenda tokea tandale. Sio barabarani unaingia ndani kidogo pamejificha. Nilibaki hoi pale dada poa aliponifuata na kunisindikiza kule nilikokuwa naelekea na kunibembeleza kunipa menu nanihii STK 500 halafu 0713 buku(1000). .ni hataree