Uwanja wa Fisi - Dar

Uwanja wa Fisi - Dar

yello masai

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2016
Posts
3,901
Reaction score
4,129
Amani iwe kwenu wakuu...
Tangu nlipokuwa kijijini (home village) huko Manyara nlikuwa nkisikia sana hili jina (uwanja wa fisi).
Nlipokuja Dar nkawa pia nasikia watu wakipataja huko. Nina miaka miwili now hapa mjini lakini sijui ni wapi huko.

Wadau naomba mnijuze.. huko Uwanja wa Fisi ni wapi? Nahitaji kupatembelea.
Je kunapatikana fisi huko kama jina lilivyo au kunapatikana nini huko?
Karibuni.
 
Panapatkana mIzoga ndo mana wamepaita uwanja wa fisi
 
Kama ni mlaji wa mizoga panakufaa sana
 
Naona pashafutika mnapafanyia promo nini?
 
Amani iwe kwenu wakuu...
Tangu nlipokuwa kijijini (home village) huko Manyara nlikuwa nkisikia sana hili jina (uwanja wa fisi).
Nlipokuja Dar nkawa pia nasikia watu wakipataja huko. Nina miaka miwili now hapa mjini lakini sijui ni wapi huko.

Wadau naomba mnijuze.. huko Uwanja wa Fisi ni wapi? Nahitaji kupatembelea.
Je kunapatikana fisi huko kama jina lilivyo au kunapatikana nini huko?
Karibuni.
Tafuta hela nikupeleke andaa kiingilio.
 
Mkuu ukishapajua nenda mbele pale baresa kulia kama unaenda mjini kuna nyumba za milele tayari waneahakuwekea na mashada kabisa wewe tuu!!!
 
Nenda Tandale halafu uliza uwanja wa fisi ni wapi utaoneshwa
 
Huko eti unaweza kupata mpaka Supu ya Ngozi za Ng'ombe au Mbuzi...teh! teh!
 
Ni ukumbi? Je kuna nini?
Ni eneo fulani pale Manzese wanauza ulabu wa kienyeji, nyama zisizoelezeka mapupu, masikio nk, wadada poa hadi shilingi 500 mchana kweupe, starehe zilezile huko kwenu pale zipo kimtindo wake kwa bei poa at your own risk! Pembeni palianzishwa kanisa la walokole.
 
Duh! Maeneo gani ya manzese mkuu? Wengine wanasema tandale
 
Mkuu ukishapajua nenda mbele pale baresa kulia kama unaenda mjini kuna nyumba za milele tayari waneahakuwekea na mashada kabisa wewe tuu!!!
Acha vitisho mkuu. Ina maana unafia huko huko?
 
Sincerely speaking ooh sorry sincerely writing nk Dar toka 1979 na tandale ndio njia yangu ila Uwanja wa fisi sikujui!
 
Duh! Maeneo gani ya manzese mkuu? Wengine wanasema tandale
Nashindwa kukuelekeza, ila huo uchochoro unaenda tokea tandale. Sio barabarani unaingia ndani kidogo pamejificha. Nilibaki hoi pale dada poa aliponifuata na kunisindikiza kule nilikokuwa naelekea na kunibembeleza kunipa menu nanihii STK 500 halafu 0713 buku(1000). .ni hataree
 
Back
Top Bottom