Uwanja wa Dkt. Samia Arusha haukidhi viwango vya FIFA

Hili nalo ni janga ,utasema mama kalima mazao kauza amekuja kutugawia pesa

Watu tunalipa Kodi kwa shida ila serikali inatupa huduma kwa vijembe, utaskia mama kawajengea barabara, yaani ujinga mtupu Africa hii
uafrika na unyani ni dugu moja
 
Mtoa post sijakuelewa vizuri japo nahisi una hoja. Vigezo umesema ni angalau viti 40000 na Mkapa kuna viti zaidi ya 50000 na bado Tanzania hatuwezi kuandaa ufunguzi? Arusha ndo uongezwe ili uwe na hivyo Vigezo Mkapa tayari unavyo
 
Kwanza aelewe hatuna mpango wa kuandaa mashindano yoyote ya fifa hivi karibuni labda miaka 30 ijayo.
Unavuka mto pindi unapo ufikia na si kwa nadharia.
 
KJwani usiitwe "Uwanja wa Samia Suluhu Hassan" badala ya kuwa na "Dr. Samia?" Je kutakuwa na uwezekano wa kuwa na uwanja wa "Mrs. Samia"
Ndiyo level ya kufikiri ya watawala wetu. Jambo kama hili niliwahi kuliona na kunishangaza siku moja niliposoma bango la hosteli za UDSM zilizopewa jina la Magufuli.

Imenikumbusha siku moja nilisikia mtawala mmoja anajitambulisha mbele za watu kwa kujiita "Mr. Fulani"
 
Wasije kukujibu "watu watapakatana" maana tulipofikia sasa panatisha sana
 
Back
Top Bottom