mbona napo sikunyingi sana kirumba,villa ile club opposite na villa sijui ndo the kiss mpaka kuelekea barabara kuu.Afu mbona humu jf thread za madanguro zimechaga na wewe sijaelewa lengo lako?unawapa taarifa wakifika mwanza wakajisevie au?
wafanye nn sasa kama hakuna ajira maisha ni gharama mno mi nahisi hawana jinsi sasa serekali iwatengee maeneo maalumu
mbona napo sikunyingi sana kirumba,villa ile club opposite na villa sijui ndo the kiss mpaka kuelekea barabara kuu.Afu mbona humu jf thread za madanguro zimechaga na wewe sijaelewa lengo lako?unawapa taarifa wakifika mwanza wakajisevie au?
dah,ndo had kwenye uwanja wenye hadh ya chama?
umejuaje?
Sehemu yoyote ukiona kuna bendera ya ccm au jina au tawi lao ujue hapo kuna biashara haramu inaendelea,sasa mbona mtoa mada Lugano ameanzisha uzi mwingine kama huu huu halafu ameukimbia baada ya intelijensia kubaini kuwa yeye ni mnyatiaji namba moja,alikuwa anataka service ya buku mbili wakamnyima ndiyo akaamua kuwaharibia biz.
hapo mwenyewe ndo umejibu??Anyway Mwanza ni sehemu yangu na kila nkifika lazima nikaruke debe club za huko na kula samaki wa kuchoma Villa.Satisfied?
ndio anataka watu wajue wapi pakupata utamu
mbona napo sikunyingi sana kirumba,villa ile club opposite na villa sijui ndo the kiss mpaka kuelekea barabara kuu.Afu mbona humu jf thread za madanguro zimechaga na wewe sijaelewa lengo lako?unawapa taarifa wakifika mwanza wakajisevie au?
we ni mnunuz nn?