Uwanja wa Benjamin Mkapa | Simba Super Cup: Simba SC Vs TP Mazembe

Free Kick kuelekea Simba.. Inapigwaaaa lakini mpira unatoka nje kwa kupigwa kichwa na mchezaji wa TP
 
Kona kuelekea Simba.... Inapigwaaaa wanarukaaaaa kichwa njeee
 
18' Simba Super Cup bado milango ni migumu, Sasa ni free kick kuelekea Simba..... inapigwaaaa anadaka Beno
 
24' Free Kick kuelekea Simba

Anapigaaaa loooooo anababatiza ukuta wa Simba
 
30' za mchezo huu wa SSC hakuna timu imeona lango pinzani

Simba SC 0-0 TP Mazembe
 
Gadiel Michael hata kwenye mabonanza haaminiki.!?
Karibia wachezaji wote wanaotoka Yanga na kwenda Simba, huishia tu kusugua benchi! Kuanzia Ajibu, Gadiel Michael, Morrison, Benno Kakolanya, nk!

Ila wakitoka Simba na kuja Yanga, huwa moto balaa! Kuanzia Kelvin Yondani, Amis Tambwe, Dida, Ajibu, na wengineo wengi. Hii inamaanisha Yanga ina uwezo mzuri wa kuwajenga na kuwatumia vizuri wachezaji kuliko Simba.
 
Pia inaweza kuwa Simba ina wachezaji wazuri zaidi kiasi kwamba wachezaji wachovu hawapati namba
 
Back
Top Bottom