Makonyeza Member Feb 2, 2020 69 252 Dec 23, 2021 Thread starter #21 Vishu Mtata said: Kasema hakuna faida inayopatika mkuu. Ni hasara tupu ila yeye anafanya kwa mapenzi yake na simba tu. Click to expand... Weeee, Kaka kwenye maisha ukiona biashara haifanywi na mchaga au muhindi jua haina faida, Achana nayo, and viceversa
Vishu Mtata said: Kasema hakuna faida inayopatika mkuu. Ni hasara tupu ila yeye anafanya kwa mapenzi yake na simba tu. Click to expand... Weeee, Kaka kwenye maisha ukiona biashara haifanywi na mchaga au muhindi jua haina faida, Achana nayo, and viceversa
Mnyuke Jr JF-Expert Member Jul 3, 2021 4,471 6,371 Dec 23, 2021 #22 Big Mind ndio watakuelewa katika hili ila zile akili za visoda hawawezi kukuelewa daima
FRANCIS DA DON JF-Expert Member Sep 4, 2013 36,127 40,799 Dec 23, 2021 #23 Hiyo ndio maana ya uwekezaji, unaweka kidogo ili upate kikubwa.
FRANCIS DA DON JF-Expert Member Sep 4, 2013 36,127 40,799 Dec 23, 2021 #24 Kabwe Katali said: Ukweli Simba wamepigwa.Mo kapata hizo hisa bure kabisa na hizo 20bl hajaweka. Click to expand... Hajaweka then kwanini kapewa hizo hisa?
Kabwe Katali said: Ukweli Simba wamepigwa.Mo kapata hizo hisa bure kabisa na hizo 20bl hajaweka. Click to expand... Hajaweka then kwanini kapewa hizo hisa?
HIMARS JF-Expert Member Jan 23, 2012 69,385 94,641 Dec 24, 2021 #25 Ila kuuita MO Simba Arena ni kosa maana haujengi yeye peke yake. Uwanja ulitakiwa uwe Bunju Complex