Uwanja sawa, lakini Bil 2 hapana!

Uwanja sawa, lakini Bil 2 hapana!

Kasema hakuna faida inayopatika mkuu.
Ni hasara tupu ila yeye anafanya kwa mapenzi yake na simba tu.
Weeee, Kaka kwenye maisha ukiona biashara haifanywi na mchaga au muhindi jua haina faida, Achana nayo, and viceversa[emoji1787]
 
Big Mind ndio watakuelewa katika hili ila zile akili za visoda hawawezi kukuelewa daima
 
Ila kuuita MO Simba Arena ni kosa maana haujengi yeye peke yake.
Uwanja ulitakiwa uwe Bunju Complex
 
Back
Top Bottom