Uwanja huu ni kwaajili ya gwaride la jeshi?

Shukurani

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Messages
253
Points
0

Shukurani

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2007
253 0
Jana katika taarifa ya habari ya star TV,kilitokea kituko cha mwaka kuhusiana na uwanja mpya. Mhe naibu waziri,Bendera aling'aka kuhusiana na TFF kudai mechi za timu ya taifa lazima zichezewe kwenye uwanja mpya,majibu ya waziri yalikuwa hivi,nanukuu "HIVI WAKATI HUU UWANJA MPYA HAUPO,HIYO TIMU YA TAIFA ILIKUWA INACHEZEA WAPI? UWANJA ULE WA ZAMANI UMEKARABATIWA KWA MILLION 700 TOKA FIFA LAKINI WATU BADO MNADAI KUCHEZEA UWANJA MPYA" nikajiuliza,hivi uwanja huu ulijengwa kwaajili ya show? au kwaajili ya kuendeleza soka la bongo? au ndiyo politics tu kila sehemu. Naomba kujua huu uwanja ni kwaajili ya gwaride la siku ya uhuru na muungano au kwaajili ya kampeni za 2010
 

Forum statistics

Threads 1,382,526
Members 526,402
Posts 33,830,915
Top