Moderator nakuomba unganisha threads zote za uvuvi ili tupate japo moja yenye nguvu maana naona fursa hii Imetupwa ..
***Niko huku baharini muda sasa, kila anayewekeza kwenye uvuvi bila kukaa mwenyewe anaishia kulia. Moja ya sababu ni nguvu kazi kukosa uaminifu, hili ni tatizo kuu. Atavua samaki wengi kisha anawauza huko huko baharini, pwani anakuja na kilio.
Changamoto ya pili ni uchaguzi wa engine za boti dhidi ya matumizi ya mafuta. Utakuta engine kubwa lakini mapato ni sawa na mwenye engine ndogo.
Sector sio imesahaulika, bali wengi hawapendi kazi za hivi. Kuna kipindi Wacongo walivamia Kilwa vibaya sana wakivua dagaa kwa mtindo wa kisasa, kaka ilikuwa shughuli sio mchezo. Dagaa lile lilikuwa linavuka mipaka kwenda huko Congo, magunia kwa madebe, siye bado tupo tupo kwanza.
Niko huku baharini muda sasa, kila anayewekeza kwenye uvuvi bila kukaa mwenyewe anaishia kulia. Moja ya sababu ni nguvu kazi kukosa uaminifu, hili ni tatizo kuu. Atavua samaki wengi kisha anawauza huko huko baharini, pwani anakuja na kilio.
Changamoto ya pili ni uchaguzi wa engine za boti dhidi ya matumizi ya mafuta. Utakuta engine kubwa lakini mapato ni sawa na mwenye engine ndogo.
Sector sio imesahaulika, bali wengi hawapendi kazi za hivi. Kuna kipindi Wacongo walivamia Kilwa vibaya sana wakivua dagaa kwa mtindo wa kisasa, kaka ilikuwa shughuli sio mchezo. Dagaa lile lilikuwa linavuka mipaka kwenda huko Congo, magunia kwa madebe, siye bado tupo tupo kwanza.
Mkuu naweza kukupata tukaongea kwa simu. Nataka kuwekeza kwenye boat ya kisasa ni sina kabisa taaluma ya samaki na bahari
Hii ina fish finder, lakini mwanzoni mimi mwenyewe nitakuwa nakwenda nao.Hakikisha boti iwe na GPS na camera za kutosha ili uweze kufuatilia hata ukiwa nchi kavu. Halafu hakikisha boti ina kitu kinaitwa fishfinder
Fishfinder! Asante sana mkuu, ila ni vizuri ukataja walau brand name take, nk.Hakikisha boti iwe na GPS na camera za kutosha ili uweze kufuatilia hata ukiwa nchi kavu. Halafu hakikisha boti ina kitu kinaitwa fishfinder
Ni kimeo kweli,Nimefanya uvuvi ziwani wa dagaa na naweza sema hii ni Crazy business maana changamoto ni nying sana. Leo upep mkali, kesho samak zimeadimika, kesho kutwa wavuv wameiba samak, Mara engine imeharibika, Mara mtumbwi unavuja, Mara mtego umeharibika Mara mafuta yamewaishia katikati ya maji, yaani unaishi na presha kubwa maana operations cost zake Kwa Siku ni kubwa like 100-200 sasa wakikosa samak 1 week umechoma 1M
Mitumbwi ni utata, ila unaweza kupiga hii biashara vizuri kama unaweza kuwa na freezer lako Pwani ili ununue samaki toka kwa wavuvi.Duh! So mtumbwi utata..