Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 17,551
- 28,511
Hii ndio jeuri ya serikali siku hizi!
Unashangaa hlo dogo Tu hushangai wakipita.Labda huyo Dreva hajui maana ya hicho kibao nini?
Ila hata hivyo % kubwa ya madereva wa magari ya Serikali wana viburi sana wanajiona wao ndio wao.
Hili limeshakuwa tatizo sugu barabarani.Labda huyo Dreva hajui maana ya hicho kibao nini?
Ila hata hivyo % kubwa ya madereva wa magari ya Serikali wana viburi sana wanajiona wao ndio wao.