King'asti samahani naomba nikuulize haya kwa nia ya kujenga tu wala si kwa nia nyingine yeyote. hivi unaamini kwamba uvumilivu uliobebwa ndani ya hekima na busara huweza kumbadilisha hata shetani kuwa malaika? ukitaka kujua soma kisa cha sauli ambaye ni paulo kwasasa katika biblia.In any relationship, iwe ndoa, urafiki,familia, hata kufanya kazi pamoja uvumilivu una nafasi kubwa sana. Ndio maana hata baadhi ya familia wakigombana AMA kutofautiana ni matusi ambayo hata kwenye kamusi hayamo. Kuna coaligues hawana dog, kila kitu ni kusutana na kupaza sauti. Hata ndoa pia Kama ilivyo kwenye kazi na familia kunahitajika kiwango fulani cha uvumilivu. Ila kuna mambo yasiyohitaji kuvumilia Kama serial cheating na physical abuse. Hapo hata iweje, ni mwendo mdundo aisee.
Uvumilivu katika ndoa ni moja ya msingi wa kuendesha hilo gurudumu.
Ni rahisi sana kuvumilia pale ambapo huo uvumilivu umelenga katika visababishio ambavo vinakwamisha urahisi wa maisha yenu ya ndoa kama vile hali ngumu ya maisha, labda mmoja wenu kupoteza kazi, au mmoja wenu ni mgonjwa kwa mda mrefu n.k.
However in the long run ni ngumu kuvumilia infinately yale ambayo yanakuwa fueled na umakusudi wa mwenza wako. Kama kukukosea heshima, kubadilika ki tabia from a good hubby/wife to a worse one, fujo na kero kero nyingi nyingi tu.
gfsonwin where do you cross the line kuwa "sasa nimevumilia vya kutosha!" na inakuwaje pale ambapo unakuwa umechoka na inakunyonya nguvu zako na kukuathiri kijumla?
Rafiki yangu siku moja aliniambia anataka kumuoa mwanamke ambaye atafanana na mama yake!! nikashangaa, ingawa sikuwa nauona huo uzuri wa sura wa mama yake..lakini baadaye ndipo akanifafanulia kuwa anamaanisha mwenye tabia kama ya mama yake......Yaani "mvumilivu".
Yaani maisha yawe up/ down haoni tofauti yeyote.
Lakini gfsonwin mimi naongezea ingawa upendo unachukua nafasi yake lakini pia mtazamo wa mwenzi kuhusu ndoa ni muhimu.............ulishawahi kukutana na mke wa mtu anakwambia "aah yule mume wangu nampenda lakini akinizingua naondoka" na anaweza kuyarudia hayo maneno mara kadhaa na kwa watu kadhaa as if kwake ndoa ni kitu kidogo sana....Unaingia leo ukijisikia kutoka unatoka.
my love Neiwa hapo ndipo penye changamoto, katika roles za uvumiivu swala la kuchukulia mapungufu ya mwenzi wako kama changamoto limo. soma hizo namba1&2. hii ni kwasababu kosa lolote alifanyalo mtu usiliweke kuwa chuki hata siku moja liweke kuwa changamoto kwako na linapokuwa ni changamoto basi hutolifanyia kazi kwa hasira wala hamaki.
kwanza utatulia kisha ufikirie njia sahihi ya kutatua na hadi inapofikia kwamba now its over unakuwa tayari umesha set benchmark. mara nyingi sana tunashuhudia watu wana break na baada ya muda mfupi wanaanza tena kuumizana kwangu mim hii ni kwamba tatizo lao toka mwanzo halikuwa changamoto bali lilikuwa ni chuki.
Chauro hivi umewah kujiuliza ni nani mtu wa kwanza unayemshirikisha tatizo linapoingia ndani mwako as a wife? je wamshirikisha rafiki,jirani, Mungu, mama, jf, mwl wako, mshenga wako, kitabu, gazeti, majarida, mitandao au chochote kingine?Kwangu inategemea unavumilia nini?sio vitu vyote vya kuvumilia hata kama ni upendo ulikusukuma kuwa hapo.
MwanajamiiOne nakutafuta uvumilivu umenishinda.....sijui inapaswa utushinde ila naona kama nashindwa vileNice topic gfsonwin.
thread nzuri gfsonwin , ila mimi binafsi naweza kuvumilia mambo yaliyo nje ya uwezo wangu mf. ugonjwa, ajali nk, lakini dharau/cheating/abuse hapana. Naamini upendo first then uvumilivu. as long as you love me then we will make through hell and back.
King'asti samahani naomba nikuulize haya kwa nia ya kujenga tu wala si kwa nia nyingine yeyote. hivi unaamini kwamba uvumilivu uliobebwa ndani ya hekima na busara huweza kumbadilisha hata shetani kuwa malaika? ukitaka kujua soma kisa cha sauli ambaye ni paulo kwasasa katika biblia.
MwanajamiiOne nakutafuta uvumilivu umenishinda.....sijui inapaswa utushinde ila naona kama nashindwa vile