Isack Elia
JF-Expert Member
- Jul 9, 2016
- 331
- 474
Mkuu chezea vyooote cio kaz. Kaz ndo heshima yako, ndo inayokuweka mjini.
Acha kuendekeza tamaa na utosheke na mshahara wako hata km ni wa senti mbili.
Nao askari wakamwuliza, “Na sisi tufanye nini?” Naye akawajibu, “Msichukue vitu vya mtu yeyote kwa nguvu wala kumshtaki yeyote kwa uongo. Toshekeni na mishahara yenu.” - Luka 3:14
Wewe ni mzembe bila shaka. Hii ni tabia ya watanzania wengi sana kazini. Ukifanya kazi Tanzania ndiyo utajua watanzania tulivyo. Hukuwa makini kwenye kuhifadhi kazi na hili linaweza kuashiria kuwa huko makini kwenye kazi zako. Inaonekana huyo jamaa anajaribu ku-expose uzembe wako lakini wewe badala ya kubadilika unamwona yeye ni mbaya. Unachotafuta utakipata kama hutakiri udhaifu wako na kubadilika.Ka
Kazi ilifutika kwenye computer na ni baada ya mteja kuitelekeza kwa mwaka mzima , na hata baada ya kutokea hilo nikajaribu kurecover imeshndikana sikua na jinsi zaid ya kurudisha hela .. naona jamaa akatumia kama njia ya kunichafua
Wewe ni mzembe bila shaka. Hii ni tabia ya watanzania wengi sana kazini. Ukifanya kazi Tanzania ndiyo utajua watanzania tulivyo. Hukuwa makini kwenye kuhifadhi kazi na hili linaweza kuashiria kuwa huko makini kwenye kazi zako. Inaonekana huyo jamaa anajaribu ku-expose uzembe wako lakini wewe badala ya kubadilika unamwona yeye ni mbaya. Unachotafuta utakipata kama hutakiri udhaifu wako na kubadilika.
Acha kulalamika mitandaoni. Kuwa mwanaume. Chukua hatua unayoona inayofaa dhidi yake
Kwa sas kuna jamaa tunafanya nae kazi amenisingizia na kunichafua sana kazini kulitokea hitilifu nikapoteza kazi ya mteja bahati mbaya.
Mteja alivyokuja ofisini akajaza maneno ya uongo nilichofanya nikarudisha hela kwa yule mteja lakini bado jamaa anaendelea kunichafua nimemuonya mara kadhaa lakini anakataa kua hafanyi hivyo.
lakini ushahidi ninao wa sauti na wa picha (screenshots) maana anaowaambia maneno mabaya huwa wananiambia...
Nimejaribu kumuepuka lakini bado ananifatilia tu na kuendelea kunichafua JE NIMFANYE NINI HUYU MTU?
Ndiyo maana nakumbia ukiwa unaishi Bongo na hukuwahi kutoka nje kuna makosa mengine unaweza kuyaona ni kawaida kabisa kwa kazi unayofanya mpaka hapo utakapoenda nchi nyingine zenye watu makini ndiyo utajua kuwa yale uliyokuwa unaita makosa ya kawaida ni uzembe uliopitiliza. Bongo watu hawako makini kabisa kwenye kila kitu na hili limeshazoeleka.Kwa nature ya kazi ytu changamoto iliyonitokea ni jambo la kawaida yeye binafsi amewah kukumbwa na majanga zaid ya hili lkn sijawah kunyanyua mdomo na mm nilipoona nmekosea nkarudsha pesa YOTE jambo ambalo yy hajawah kufanya
Mwite, mwambie nakuonya kwa mara mwisho
Akishupaza shingo
Adhabu zipo nyingi duniani mkuu, usitake nizitaje nionekane mimi ni katili
Ndiyo maana nakumbia ukiwa unaishi Bongo na hukuwahi kutoka nje kuna makosa mengine unaweza kuyaona ni kawaida kabisa kwa kazi unayofanya mpaka hapo utakapoenda nchi nyingine zenye watu makini ndiyo utajua kuwa yale uliyokuwa unaita makosa ya kawaida ni uzembe uliopitiliza. Bongo watu hawako makini kabisa kwenye kila kitu na hili limeshazoeleka.
Kwanza kazigani?
Unapaswa umshukuru jamaa anawaambia watu madhaifu yako ili wakusaidie ubadilike.mtu wa hivyo ni mzuri kuliko akikwambia wewe peke yako tu.so anawaambia na wengine ili nao wasije wakaacha kazi kwako ukapoteza.hivyo anakusaidia.
Adhabu.
Adhabu inategemeana na unavyomuona mwingine unaweza mpa adhabu ya kunywa beer na asije akakusahau tena duniani.mwingine unampa adhabu ya kumgegeda, adhabu ya kumchapa bakora...hatuwezi kukupangia adhabu.labda uwe hujadhamilia kumwadhibu.
Adui anayeandama mafanikio yako ni mbaya kuliko anaeandama uhai wako!
Mafanikio yakiondoka na kifo kinakuja taratibu tu
Naweza kumsamehe mtu aliyekosakosa kuniua endapo akiomba msamaha lakini siwezi kumsamehe mtu anayeonekana kunivutia kwenye umasikini. Wewe angalia adhabu mbaya utakayompa ambayo haitoathiri maisha yako