Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
[emoji23] [emoji23] mmh hapo kwenye kufa sasa!Mwanahabari huru wa HOVYO kabisa kutokea hapa duniani!
Kwa taarifa yako tu CCM NI CHAMA TAWALA na kama HUTAKI ama HAMA NCHI au KUFA!
Kufa ukoo wakoMwanahabari huru wa HOVYO kabisa kutokea hapa duniani!
Kwa taarifa yako tu CCM NI CHAMA TAWALA na kama HUTAKI ama HAMA NCHI au KUFA!
Mwanahabari huru wa HOVYO kabisa kutokea hapa duniani!
Kwa taarifa yako tu CCM NI CHAMA TAWALA na kama HUTAKI ama HAMA NCHI au KUFA!
Ndivyo mnavyojidanganya km cha mtandaoni mbona mnafukuza mawakala wao ila haya yana mwishoMuda sio mrefu Chama hiki kitakuwa cha mtandaoni tu....
Ndivyo mnavyojidanganya km cha mtandaoni mbona mnafukuza mawakala wao ila haya yana mwisho
True walahi!Mwanahabari huru wa HOVYO kabisa kutokea hapa duniani!
Kwa taarifa yako tu CCM NI CHAMA TAWALA na kama HUTAKI ama HAMA NCHI au KUFA!
Kanjanja tu huyo mchumia tumbo,hana sifa za uana habariMwanahabari huru wa HOVYO kabisa kutokea hapa duniani!
Kwa taarifa yako tu CCM NI CHAMA TAWALA na kama HUTAKI ama HAMA NCHI au KUFA!
hahaa hao ndo wasomi wa ufipa na habari zao uchwara.Hii paragraph yako imenichekesha sana, ''
''Ikumbukwe kuwa; Wakenya walichoshwa na udharimu uliokuwa unafanywa na KANU enzi zile na wakaamua kwa gharama yoyote ile kuidai Katiba Mpya iliyowasaidia kuundwa kwa Tume huru ya Uchaguzi hatimaye dhamira yao ya kuing'oa KANU ikatimia''.
Tatizo la copy&paste kutoka kwenye mitandao na kuleta Jamiiforums.
KANU haikuondolewa madarakani kwa sababu ya katiba mpya.
Kwa kukusaidia naomba utambue kuwa KANU iliondolewa madarakani Desemba 2002 wakati katiba ya Kenya iliundwa mwaka 2010.
Jielimishe kwanza kabla ya kuleta uharo hapa Jamiiforums!
Muda sio mrefu Chama hiki kitakuwa cha mtandaoni tu....
Kwema mkuu?