Uvumi huu wa waganga wa kienyeji una ukweli gani, eti soda ya pepsi na coke zina sumu?

MPHINGU

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
518
613
Wakuu leo nimeona niwaletee suala hili, kwa kujua JF ni sayari ya wataalamu wa kila jambo.
Wakuu siku hizi kumeenea waganga wakienyeji wanaotangaza dawa zao kwenye mikusanyiko ya watu, na ili watu wa waamini umahiri wao ili watu wa waamini, wanasema; pepsi na Coke hazifayi ni sumu.
Katika kuwaaminisha watu, kitu wanacho kifanya ni kutumbukiza MSUMARI kwenye vinywaji hivyo na kuonyesha(sijui kama ni mazingaombe) misumari imeyeyushwa ni vinywaji hivyo, hapo ndio wanapo usibitishia umma u sumu wa Pepsi-Cola na Coke-Cola.
nikiwa mpenzi wa vinywaji hivyo, ndio na waulize nyie watukufu wa JF, suala hilo lina ukweli gani?
d07b18174beeabed696b94a47a367f61.jpg
d487f23e650c061654a04d090387d0e8.jpg
 
Back
Top Bottom