Uvivu una nitawala

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Mwenzenu nipo sehemu Ambayo Kuna pesa ila mimi bwana Nina mashetani ya uvivu wa kufanya kazi kabisa

Yaani nipo Kama nimerogwa Niki ingia kazini tu usingizi una nikamata ila nikiwa na ongeya kwenye simu naweza nika kesha

Sijui Kama nime umbwa ili niwe maskini au najitakia mwenyewe
Dah acha ni lale bwana
 
Screenshot_20211105-205703.jpg
 
Nakumegea siri ... wala hujalogwa.. shida kubwa naiona kwako ni kwamba una matarajio makubwa sana ya kufanikiwa kwenye hiyo kazi yako.

Hiyo ndo inakupa mpaka usingizi na uvivu ukiwa kazini.

Cha kwanza ondoa hayo matarajio kwenye akili yako na uwe just normal, utafanya kazi kwa amani na uta perform vizur.

Over expectation inafanya akili itamani mwili kufanya mambo mengi kwa mkupuo wakati miili yetu haijaumbwa hivo
 
Kuna watu ambao Wana akili bwana
 
Ebu fanya kunipa connection nitakusaidia sanaaa kukuingizia kipato wewe ukiwa umelala. But don't accept the condition. Ichukie then everything will go like waaaaaa!!!
 
Kuna watu ambao Wana akili bwana
Ni kama wakati ukiwa mwanafunzi ukapania kusoma fikiria huwa ilikuwa inakuwaje... utapata usingizi mzito wa kufa mtu..

Maana yake ni kwamba unakuwa umeushitua mwili kutaka mambo ambayo mwili hauwezi kutenda.. Matokeo yake mwili lazina upate mchoko.. Na ndo huo usingizi na uvivu
 
Back
Top Bottom