Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,345
Sipendi hizi za "Niliamua kuwa changudoa kwa sababu ya ugumu wa maisha."...
Swali linalofuata linatakiwa liwe, ulichukua hatua gani kukabiliana nao? Unakuta kiumbe wa Allah hakujaribu hata kutafuta kazi za ndani au kuosha vyombo kwa mama lishe.
Akapata nafasi ya kupelekwa shule na shangazi yake lakini yeye akakimbia kisa anadai anatumikishwa kazi nyingi, sasa kula ule wewe chombo akuoshee nani, kufagia uwanja, kufua nguo za wadogo zako ambao mama yao ndo anakulisha nako ni kunyanyaswa?
Kama alifiwa na mzazi ndio kabisaaa anapata kisingizio kwa kudai kuwa alikuwa ananyanyaswa!
Nachukia sana hizi drama...