AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,651
- 4,758
Teknolojia itawaleaHaya maisha Mungu tu atusaidie, tunahangaika kutafuta pesa tunasahau malezi. Tumeacha pesa ndio itulelee watoto.
Mayo mayo namulaga Shing'weng'we
Kweli,ni kumuonea na kumnyima mahitaji yake kama mtoto...ila nilipokuwa boarding nilikutana na watu ambao wazazi wao wamewashinda yaani ni wakorofi sana na uvutaji wa sigara+pombe kali hao watu pia wamesoma shule za msingi boarding maalumu za watoto watundu na walioshindikana huko Manyara,shule yao ilikuwa katikati ya mbuga ya wanyama siijui inaitwaje.Siwezi mpeleka mwanangu mdogo boarding!
Nimesoma Middle schoolBujibuji lazima utakuwa mtu wa zamani; ulisoma enzi za standard na sio vidatu!!!
Wapo wanaofanya hivyo alafu wanajivunia pesa. .. Hata haya hawaoni. ... Ni uvivu wa malezi.. .Siwezi mpeleka mwanangu mdogo boarding!
Mtoto kuwa mtundu au mkorofi.. . NDIO MATOKEO YA WAZAZI KUWA LELEMAMA KWENYE MALEZI. ...Kweli,ni kumuonea na kumnyima mahitaji yake kama mtoto...ila nilipokuwa boarding nilikutana na watu ambao wazazi wao wamewashinda yaani ni wakorofi sana na uvutaji wa sigara+pombe kali hao watu pia wamesoma shule za msingi boarding maalumu za watoto watundu na walioshindikana huko Manyara,shule yao ilikuwa katikati ya mbuga ya wanyama siijui inaitwaje.
Watoto wengine ni watundu kupitiliza unashindwa umfanyeje kuliko umpige umuue bora umpeleke shule huko maporini.
NI UVIVU TU.. . .Maisha kutegemeana...
Let them go to school tupumue
Nimesoma Middle school
Na ndio hivyo mkuu.inatakiwa iwe hivyo pesa sio kila kitu kiasi kwamba ikulelee mtoto.. never ever.Mimi mwanangu nitamlea mwenywe nikiwa hai Inshaa Allah. . . Kule nilipokosea mimi sitokubali apite huko...
Nitasahihisha makosa yaliyofanyika kwangu kwa mwanangu...
Ukiona mzazi wako anatamani utoke home ujue something is wrong somewhere.NI UVIVU TU.. . .
dogoshila dogwibhejaga......Mayo mayo namulaga Shing'weng'we
Mayo mayo namulaga Shing'weng'we