Uvinza Siendi Tena

Mkuu, hukupaswa kwenda Uvinza kwa usafiri wa kukodi. Umeona sasa? Huko nenda na usafiri wako ulio safi utafika na utasikia raha. Pole kwa yaliyokusibu mkuu.
Ahsante mkuu, ushauri wako ni wa kumjenga mtu na wakati huo huo kumliwaza. Achana na wale wasio na huruma wanaonishambulia wakati mimi nilikuwa kwenye utafiti wa viwanda vya chumvi.
 
@ sakapal, hata kama ni jini hatuelewagi ati. Acha kabisa, ulishaona layland CD umeikoki inateremka kilimani halafu ulete upuuzi. Tena huyu madam jini ndo bomba kabisa. Ntakusimulia nikikutana naye siku moja. Ila huwa sipendi kukodi ndio shida yangu.
 
Si kila kiwanda kinatoa chumvi yenye ubora! Pengine kabla hujafanya huamuzi wa kula chumvi anagalia inatengenezwa kwenye mazingira gani, expire date, pia packaging inaweza ikaukujulisha hiyo chumvi itakuwaje!
 
Nimepenad sana tafsdia ulivyoitumia,tena ukizingatia kuwa vitoto vyetu bvinatembelea huku,Safi sana
nafikiria watu wa Tahasisi ya kiswahili wangekutafuta
 
Ulijuaje kama 'usafiri' uliokuwa umekodi ungekubali kukufikisha huko "makundu-chi"? Laana zingine tunazitafuta wenyewe aisee.
Mkuu, mteja ni mfalme. Usafiri wa kukodi utakupeleka popote utakapopenda, bora malipo tu. Actually mimi hata uvinza kwenyewe nilikuwa sijawahi kwenda, hii ilikuwa safari ya kiutafiti zaidi. Ila niliyoyaona huko yamenikatisha tamaa ya kurudi tena huko siku nyingine
 
Kweli ushamba hauna mwenyeji! Yaani usafiri wa kukodi unaendea uvinza? Unadhani mwakyembe ni duwanzi kupigania treni ifufuliwe?

ukija kwenye white patty nione nikupe zawadi, nimecheka mpaka mbavu zinatekenya
 
Ahsante mkuu, ushauri wako ni wa kumjenga mtu na wakati huo huo kumliwaza. Achana na wale wasio na huruma wanaonishambulia wakati mimi nilikuwa kwenye utafiti wa viwanda vya chumvi.

ungeweka nidole kwanza usikilizie puani, next unajifanya unabusu kitovu kushuka chini hapo ndio signal yako inatakiwa iwe imetulia ili kunasa mambo kabla hujafika eneo husika.

ukitaka vya kukodi vya ukweli kuna maeneo yake, achana na kwenda kukodi huko uswahilini manzese.... vitamu lakini usafi O
 
Wenzio huwa tunaenda kutest tu kama chumvi yahuko ina ladha...na tukishaonja tunayoyakuta huko huwa tunakaa kimya....
Mkuu asigwa inabidi pia tukumbuke kwamba "msema ukweli ni mpenzi wa God". Naona hapa Power G hajakosea kusema bali alichokosea ni kutumia usafiri wa kukodi kwenda uvinza.
 
Duh...watu mna mambo!
Saa zingine hata tu kwa usafiri wako mwenyewe mtu uvinza hatuendi..sembuse usafiri wa kukodi ndo utake kwenda uvinza??...lolz
Ulichemka mbaya mwana..una bahati umeibuka na mafua..sometime unaweza ibuka na kansa ya koo....
 
Is it you!!!!!
 
Ahsante kwa ushauri mkuu, hata hivyo naamini "kufanya kosa siyo kosa ila kurudia kosa ndiyo kosa kubwa". Naapa uvinza sitaenda tena regardless usafiri ni wa kukodi au binafsi.
 
Binti.com sidhani kama tatizo ni gari la kukodi me naona tatizo ni gari binafsi tuu! Maana hilo tatizo anaweza akakutana nalo hata kwenye gari lake binafsi kabisa!

Ni wengi wanapata tatizo hili kwenye magari yao binafsi na wanavumilia tuu!

Mkuu asigwa inabidi pia tukumbuke kwamba "msema ukweli ni mpenzi wa God". Naona hapa Power G hajakosea kusema bali alichokosea ni kutumia usafiri wa kukodi kwenda uvinza.
 
Last edited by a moderator:
SnowBall unajua wengi wanafikiri tatizo ni usafiri wa kukodi kumbe sivyo!

Kumbe hata kwa usafiri wako binafsi unaweza kushindwa kufika uvinza! Swala la uvinza linahitaji usafiri safi na unaojaliwa vyema!
Duh...watu mna mambo!
Saa zingine hata tu kwa usafiri wako mwenyewe mtu uvinza hatuendi..sembuse usafiri wa kukodi ndo utake kwenda uvinza??...lolz
Ulichemka mbaya mwana..una bahati umeibuka na mafua..sometime unaweza ibuka na kansa ya koo....
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…