UVCCM Zanzibar: Abeid Karume afukuzwe CCM

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,220
Reaction score
138,651
Vijana wa CCM Zanzibar wametoa kauli ya pamoja kwamba Rais mstaafu Aman Karume afukuzwe CCM kwa kuwa anaungana na upinzani kukizamisha chama.

Vijana hao wanaoonekana kutumwa wamesema asipofukuzwa watatumia njia mbadala.

===================

 
Last edited by a moderator:
Vijana wa CCM Zanzibar wametoa kauli ya pamoja kwamba rais mstaafu Aman Karume afukuzwe CCM kwa kuwa anaungana na upinzani kukizamisha chama.Vijana hao wanaoonekana kutumwa wamesema asipofukuzwa watatumia njia mbadala.
weka chanzo kiongozi
 
QUOTE="Simiyu Yetu, post: 15074615, member: 150527"]Karume yupo cuf siku nyingi wala siyo leo maana hata yule mtoto wake ameolewa na kiongozi mmoja wa cuf hata mambo yake mengi hufanya kwaajili ya cuf.[/QUOTE]
Nafuu awakomboe wa Znz kutoka kwa mkoloni mweusi wa kupangwa TANGANYIKA
 
Ingekuwa bora endapo hao vijana wa CCM Zanzibar wangeshinikiza Maalim Seif atangazwe ili baada ya hapo waendelee kukijenga chama chao, badala ya kuendelea kushutumu watu kama Karume pamoja na kutembea na mabango yanayowabagua Machotara.
 
Shein amekata mirija ya maslahi ya Amani Karume, ndio maana muda mwingi Amani Karume anatumia kumuhujumu Shein. Kutokana na utawala na kashkash kipindi cha chaguzi za mwaka 2000 na 2005, hivi Amani Karume anapata wapi ujasiri wa kumkosoa Shein?
Na ashukuru sana kwakuwa Shein ni mpole, angekuwa Salmin ni Rais, Amani Karume angekuwa ananyea debe.
Amani Karume anampinga Shein kwakuwa maslahi yake binafsi yamezuiwa, na sio kwamba ana mapenzi mema na Zanzibar au wazanzibar.
 
Maslahi Yapi binafsi?Wapi amempinga Shein?Labda ungeyataja unless Kama hauyajui ni story za mtaani
 
Vijana wa CCM Zanzibar wametoa kauli ya pamoja kwamba Rais mstaafu Aman Karume afukuzwe CCM kwa kuwa anaungana na upinzani kukizamisha chama.

Vijana hao wanaoonekana kutumwa wamesema asipofukuzwa watatumia njia mbadala.
Jina la aliyewatuma tafadhari.
 
Madaraka tu ndio yanapelekea ubinafsi... Sote ni ndugu na tena dini moja kwann kutopendana
 
Yanayofanyika na maccm huko Zanzibar ambavyo ni vya kuweweseka na kuchanganyikiwa kwa hali ya juu sana, ni sawasawa na the last kicks of the dyeing horse.
 
Kwani Shein ni Mungu mpaka asikosolewe?
Usiwe muoga kama konokono aliyejificha kwenye gamba lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…