Kweli hawa wazee wanakiua chama cha mapinduzi nilikua dodoma kwenye uchaguzi wa Uvccm viti maalum ubunge niliyoyaona sijaamini macho yangu ni rushw..na watoto wa vigogo tupu wamekifanya chama cha mapinduzi ni taasisi ya watu fulani za familia furani na sio chama cha watanzania umafia nimeona ukifanywa na mabinti wasio na baba zao viongozi wameondoka wanalia machozi ya damu haikua fair election leo CCM imekua hivi?
Eti kama babako si kiongozi na umetoka mtaani huwezi kua mshindi kweli?ndo tumefika apa Mwenyekiti wa chama taifa Makamo mwenyekiti taifa Katibu mkuu wa chama taifa mnayajua haya?hii dhambi itawamaliza na itawatafuna mimi ni mwanachama mwenye kadi ya ccm lakini kwa hili Mungu anipe uhai na chama sihami ila nataka nione mwisho wa chama changu washindi
1.Halima burembo. mtoto wa mwenyekiti taifa wazazi huyu ni mwajiri wa makatibu wa ccm wazazi katoa maagizo mwanae lazma apite.
2.Zainabu katimba.mtoto wa naibu katibu mkuu uvccm taifa ni mwajiri wa makatibu wote wa uvccm nchi nzima maagizo yametolewa.
3.Mariam ditopile mtototo wa aliekua mkuu wa mkoa kwa sasa yupo chini ya malezi ya sofia simba mwenyekiti wa Uwt taifa wapiga kura wote wakuchagua washindi wanariport kwake.
4.Kiziga mtoto wa Angel kiziga waziri wa afrika mashariki na kigogo wa Uwt dar es salaam.
4.Juliana masaburi mtoto wa mwenyekiti wa uwt dar es salaam Janet masaburi wapiga kura wote wa uwt dar wanaripot kwake na babake ni meya wa jiji.
5.Mariuma mzindakaya kigogo maarufu.
6.Uwoya rene kapachikwa uyo baada ya kutoa mambo yet.. yalee bila ivyo alikua hayupo kwa sita bora uyo na kawekwa kama magirini alikua wa tisa uko pale ukumbini baada ya kura.