UVCCM yajibu mapigo ya Lowassa

Kashifu uwezavyo, mimi huwa sisumbuliwi na maneno ya kashfa kama yako. Hayo ni maji ya moto yasiyochoma nyumba. Ukweli ni kwamba UVCCM imetuzalishia mafisadi wengi sana na tusingependa Bavicha iwe hivyo.
 
Ccm wanapaswa kufahamu kuwa nchi JMT ni huru na ya kidemokrasia hayo mambo ya kusema haitong'ooka ni kujidanganya na kuonyesha kuwa hawaheshimu uhuru na demokrasia. Sawa wanaweza kuendelea kutawala lakini sio kuongoza maana hata tume ya uchaguzi sio huru.
 
Lowasaa hana jipya kaishiwa
hajitambui tena,
Kaisha Fulia sasahivi hasikiki anatafuta njia ya kurudi tena
 
Well said!
Wafanye kazi zipi? Vijana wa chuo intake 3 hawana ajira. Viwanda viko wapi Na vinazalisha nini? Kila kitu kinatoka China Na India. Plastic, madoli, nguo, TV, radio, magari, viatu,
 
Shaka tokea apate mtu Mombasa amkuwa Mpuuzi kweli kweli
 
Hivi huu ni uelewa wako kuhusu UVCCM!?
Ngoja nikufumbue macho kidogo, UVCCM katika taasisi au jumuiya za Vijana inayopika Vijana wengi Wazalendo kwa taifa leo na kutoa Viongozi makini wanaosimama katika Ujamaa na Kujitegemea ila pia kusema kweli.
Uzalendo haupimwi kwa kutafuta vyeo bali hupimwa katika utumishi. Utumishi kwa Taifa. Naomba mifano michache ya vijana waliopitia UVCCM ambao ni viongozi wa mfano, ni wafanyabiashara wa mfano, ni wanasayansi wa mfano, ni wawekezaji wa mfano, ni wakulima wa mfano. Madaraka ni sehemu ndogo sana ya uongozi. Uongozi wa wa kizalendo ni kuwa mfano katika kila jambo na hasa katika kutatua matatizo ya kila siku ya jamii katika Taifa.

UVCCM kwa kiasi kikubwa ni wasakana wasubiria madaraka lakini siyo wazalendo. Wazalendo hasa ni wale ambao kazi zao za kika siku zinachangia kupunguza au kuondoa matatizo yanayoikabili jamii kama vile ukosefu wa ajira, uduni wa elimu, uduni wa teknolojia, uduni wa huduma za afya, uzalishaji usio na tija katika viwanda, ufugaji na kilimo, n.k.
 
Naamini wewe kama mwenye kumsaidia huyo Shaka kuandaa hizo hotuba na kumlisha maneno msaidie na kumsomesha alau apate hizo sifa unazozitaka wewe kuondoa huo ukaimu.

"Unapokosoa uwe na uwezo wa kutengeneza'
Ama kweli akutukanae hajagui tusi. Mii ni kuhusisha kwa aina yoyote na CCM ni kunidhalilisha, kunitusi na kunidhihaki.
Ni sawa na kuupaka matope uzanzibari wangu, thamani ya utu wangu na utukufu wa nchi yangu Zanzibar
Ni sawa na kunifananisha na mtwana, mkata maji, gozi na " Zuia "
Ushauri Shaka atafute CHETI feki apate kutambuliwa. Vyeti kwenye chama cha CCM ni fashion
 
well said
 
It's as if this statement has originated from callomedge
 
Fufueni Vijana jazz wana Air Pambamoto ndo mimi nitaanza kuwasikiliza. Ndo kitu pekee mlichofanya kwa mafanikio.
 

Hakika kama huyo ndiye katibu wa chama kikubwa na Tawala inasikitisha sana tena sana.
Kama alikuwa hakulewa basi elimu yake ni ndogo sana tena sana maana hajajua kuwa nchi ni ya vyama vingi kisheria na kikatiba na hana habari kabisa na wajibu wa vyama kikatiba katika siasa za nchi hii. Kube hii Bashite Club ina wanachama wengi kivile?????????
Komredi Polepole fanya haraka sana anzisha hicho chuo chetu na intake ya kwanza usimuache Shaka!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Sasa hapa amejibu mapigo au amepigia mstari hoja za Mzee Edo kuhusu uminywaji wa demokrasia?
The guilty are always afraid
 
Hivi akili zako bado zipo kwenye Viroba tu.
Hakuna dictator hapa nchini ila mnatengeneza mazingira ya kuwapambanisha watawala na wananchi
Tumewapuuza ukweli utasimama
Nikweli ulichoandika ndicho unachoimanisha? Inatakiwa ujitoe fahamu ndipo uwe na fikira Kama zako, jitahidi nafasi ya mkuu wa wilaya Uyui bado haijapata mtu.
 
Aisee shaka tafadhari ,kaa chini uachie wanaojua kuicheza ngoma ,yaani bado hujasema kitu kabisa pole yako
 
Ndiyo nani huyo?Simwelewagi unajua!Wanasiasa bwana ni mwendo wa kuota utawala wa daima.Awaulize waliomzidi umri 1995 kulikuwa na wabunge wangapi wa upinzani,2015 wako wangapi,kwa hesabu hiyohiyo miaka 40 ijayo watakuwa wangapi!
 
2020................Hiyoooooooooooo ndo ina-load...........
 
uvccm wanaweweseka sana wakisikia huyu mamvi kaibuka,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…