Umoja Wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi ( Uvccm ) umemtaka aliyekuwa waziri mkuu wa zamani na mjumbe wa kamati kuu ya chadema Edward Lowassa kufuta fikra ya kuwa Chadema itaibwaga CCM hata kama kutakuwa na UKAWA.
Kauri hiyo imezungumzwa na kaimu katibu mkuu wa umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi taifa (UVCCM) Shaka Hamdu Shaka na kusema kuwa.
“Kwa bahati mbaya Lowassa amesukumwa na hasira na kujikuta akijitoa CCM mwaka 2015 kama mtu aliyekuwa anacheza ngoma kwa kwenda upinzani huku akiwa na matumaini ya kuukwaa urais.Alisema kama kuna kosa kubwa ambalo Lowassa amelifanya ni kitendo chake cha kuhama CCM na kwenda upinzani hasa Chadema ,Kwa sababu yeye mwenyewe alishawahi kutamka hadharani akihutubia mkutano wa hadhara mwaka 2006 akilinganisha upinzani ni watoto wanaokimbilia mdundiko”.Lowassa asikubali kucheza tombola katika siasa,Siasa ni hesabu na ina formula zake.Nafikiri amekurupuka kujiondoa CCM ameupanda mkenge kwenda Chadema ajue kuwa si Ukawa wala Udeta wenye ubavu wa kuiondoa CCM madarakani alisema Shaka.
Alimtaka Lowassa kujua kuwa hata viongozi na wanachama wa upinzani hawamwafiki mwanasiasa huyo kwa asilimia kubwa,kwani wapo viongozi aliowakuta ambao wametoa jasho jingi kuvijenga vyama vyao hivyo hawapo tayari kumpisha agombee tena urais.
Pia Kaimu katibu mkuu Shaka alifafanua kuhusu kauri iliyotolewa na Lowassa kwa kusema kuwa Tanzania kuna ukandamizwaji wa demokrasia..Shaka alisema
“ Haiba ya demokrasia iliyopo Tanzania huwezi kukutana nayo popote Afrika mashariki,Afrika na duniani kwa ujumla,Ila uamuzi wa serikali ya awamu ya tano ni kuwahimiza wananchi kufanya kazina kuzalisha mali viwandani na mashambani.Uhuru wa demokrasia au watu kujitawala bila shibe na maendeleo ya kisekta ni upuuzi.
Alisema kwa msisitizo ndugu Shaka.Pia aliendelea kusema kuwa
“Tumemaliza kampeni na uchaguzi mkuu kila mmoja sasa afanya kazi, kukusanya watu kwenye makongamano na kuwapa bahashishi ni kuwapumbaza kiakili ikiwa bado ni Maskini" alimaliza kusema ndugu Shaka..
Source
Gazeti la Mtanzania la mei 15,2017 toleo Na.8546
Ukurasa wa 8.
H
Hivi hiki ki-NGO bado kipo hai? hopeless kabisa, utafikiri sio vijana wa chama tawala.
Iyo tathimini kafanya nani?KI-NGO NI CHADEMA NA JUMUIYA ZAKE ZA KIPUMBAVU, UVCCM NI JUMUIYA MAKINI INAYOSIMAMIA KANUNI ZAKE LAKINI PIA NDIO JUMUIYA YA VIJANA YA CHAMA CHA SIASA CHENYE NGUVU ZAIDI BARANI AFRICA NA CHA PILI DUNIANI BAADA YA KILE CHA CHAMA TAWALA CHA CHINA (CPC YOUTH LEAGUE OF CHINA)
Wewe utakuwa unatokea kanda ya kati au pwani siyo bure, kule umaskini ni sehemu ya maisha yenu ndiyo maana mnakipenda kijani, mtakufa maskini.MWENYE LAANI NA UTANDU WA UBONGO NI WEWE NYUMBU USIYEJIELEWA. KUPAMBANA NA CCM NI SAWA NA KUFUKUZA UPEPO. UTAUMIA BURE CCM CHAMA KUBWA.
For YouLema anafanya mikutano kila siku huko Arusha.
Mikutano imezuiwa wapi??
Wewe utakuwa unatokea kanda ya kati au pwani siyo bure, kule umaskini ni sehemu ya maisha yenu ndiyo maana mnakipenda kijani, mtakufa maskini.MWENYE LAANI NA UTANDU WA UBONGO NI WEWE NYUMBU USIYEJIELEWA. KUPAMBANA NA CCM NI SAWA NA KUFUKUZA UPEPO. UTAUMIA BURE CCM CHAMA KUBWA.
Shaka na UVCCm yake ni wakupuuzwa sana tu huyu jamaa huwa hajui anachokiongea uwa anaongea kama ana garantee na hiyo ccm au na Mungu, aweke akiba ya manenoWewe ni mpuuzi mmoja wao
MBONA BOSS WENU ANALAZIMISHA TANZANIA NZIMA TUWE CCM,AMWAMBI MAMBO KAMA HAYAShida ni kulazimisha vijana wote wapende upinzani,
Ingekua ni hvyo basi wanaume wote wangewapenda wake zenu ama wanawake wote wawapende waume zenu
Kwani walichukua tena Arusha?Au ileile ya Bukoba?As if it were not enough in the magazine, you decide to put this shit here!
If this Shaka thinks CCM is not going to fall, then good for him, he needs to keep quite and hang on to his beliefs.
Is he trying to say that 'hapa kazi tu' is an alternative to democracy?
He be warned, democracy has eleven pillars and it has no sabstitute!
Alafu rudisheni kwanza hela ya rambirambi!
Hii ni point isipuuzwe hata kidogo.Imepita miezi sasa nawaza hivi Vyama vingine vinawasaidia vipi vijana katika kuwapika kizalendo maana naona UVCCM pekee ikiwakoka Vijana wengi viongozi wazuri wazalendo kwa taifa letu.
Siwasikii tena Bavicha wala wale wa CUF.
Wazee wao si ndo wale wanaenda bandarini wanaambiwa kuna meli 30 per day wanachekerea ata awashituki kuwa huu ni uongo ambao ata tahira anaelewa kadanganywaKama Vijana wanawaza ivo je Wazee wao wanawaza nini??