Diwani Mtarajiwa
Member
- Feb 3, 2010
- 19
- 0
Hatuwapendi
Wabongo bwana mawazo yote ni kwenye uchaguzi tu hatufikirii familia zao zitakuwaje tunasema wapone ili washiriki uchaguzi ni sawa na kusema hata punda akifa mzigo wa bosi lazima ufike jamaniTuwaombee wapone haraka ili waweze shiriki kikamilifu uchaguzi mkuu wa Rais , Wabunge & Madiwani-2010
Mbona wewe umetumiaMbona mnatumia font color nyekundu?
Nakumbuka utotoni tunapocheki Movies za Bluce -lee - utasikia " hiyo trailer tu - bado yenyewe haijaanza"..nafikiri kwa hawa ndugu " hiyo ni Trailer....tu movie bdo mwezi wa kumi"
Wabongo bwana mawazo yote ni kwenye uchaguzi tu hatufikirii familia zao zitakuwaje tunasema wapone ili washiriki uchaguzi ni sawa na kusema hata punda akifa mzigo wa bosi lazima ufike jamani
Tunadumisha chama mkuu.... MSIMBAZI KWA SANA TUUUUUUUUMbona mnatumia font color nyekundu?