peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 16,504
- 27,225
Mwenyekiti wa CCM mkoa huwa halipwi mshahara na chama,Sasa unamuonya mtu ambaye humlipi Wala halipwi? CCM ni aibu kutokumlipa mshahara mwenyekiti wa CCM mkoa . Fikirieni hii hoja.Katibu wa umoja wa vijana wa ccm Khenan Kihongosi amemuonya mwenyekiti wa ccm mkoa wa Mwanza bwana Diallo kuwa aache upotoshaji mara moja, kitendo cha kusema baadhi ya viongozi waliopita walitakiwa kuwa mirembe ni cha kipotoshaji kwani Diallo yupo kwenye vikao vyote vya maamuzi kwani ni mjumbe wa kamati kuu.
UVCCM wamuonya Diallo, wadai anawadhihaki viongozi wastaafu
CCM imelaani kauli ya kubeza viongozi wastaafu iliyotolewa na mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Mwanza, Antony Diallo katika mahojiano aliyofanya na kituo kimoja cha televisheni nchini.www.mwananchi.co.tz
Sasa uyu nae anashindana na senior wake kwenye chama, hivi ndani ya ccm vijana hua hawafundishwi adabu, ?Katibu wa umoja wa vijana wa ccm Khenan Kihongosi amemuonya mwenyekiti wa ccm mkoa wa Mwanza bwana Diallo kuwa aache upotoshaji mara moja, kitendo cha kusema baadhi ya viongozi waliopita walitakiwa kuwa mirembe ni cha kipotoshaji kwani Diallo yupo kwenye vikao vyote vya maamuzi kwani ni mjumbe wa kamati kuu.
UVCCM wamuonya Diallo, wadai anawadhihaki viongozi wastaafu
CCM imelaani kauli ya kubeza viongozi wastaafu iliyotolewa na mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Mwanza, Antony Diallo katika mahojiano aliyofanya na kituo kimoja cha televisheni nchini.www.mwananchi.co.tz
Nani fisadi??Mafisadi wasipewe fursa ya kuichafua CCM
Katibu wa umoja wa vijana wa ccm Khenan Kihongosi amemuonya mwenyekiti wa ccm mkoa wa Mwanza bwana Diallo kuwa aache upotoshaji mara moja, kitendo cha kusema baadhi ya viongozi waliopita walitakiwa kuwa mirembe ni cha kipotoshaji kwani Diallo yupo kwenye vikao vyote vya maamuzi kwani ni mjumbe wa kamati kuu.
UVCCM wamuonya Diallo, wadai anawadhihaki viongozi wastaafu
CCM imelaani kauli ya kubeza viongozi wastaafu iliyotolewa na mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Mwanza, Antony Diallo katika mahojiano aliyofanya na kituo kimoja cha televisheni nchini.www.mwananchi.co.tz
Wanaitwa legacy ya Mwendawazimu auHawa nyumbu wa mwendazake watulie kwanza.
UVCCM waongea kwa uchungu mkubwa kufuatia kauli ya Mwenyekiti wa CCM wa mkoa
Sio walipaswa kuwa milembeKatibu wa umoja wa vijana wa ccm Khenan Kihongosi amemuonya mwenyekiti wa ccm mkoa wa Mwanza bwana Diallo kuwa aache upotoshaji mara moja, kitendo cha kusema baadhi ya viongozi waliopita walitakiwa kuwa mirembe ni cha kipotoshaji kwani Diallo yupo kwenye vikao vyote vya maamuzi kwani ni mjumbe wa kamati kuu.
UVCCM wamuonya Diallo, wadai anawadhihaki viongozi wastaafu
CCM imelaani kauli ya kubeza viongozi wastaafu iliyotolewa na mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Mwanza, Antony Diallo katika mahojiano aliyofanya na kituo kimoja cha televisheni nchini.www.mwananchi.co.tz
Wakakimbia alafu kiwanda bora kabisa Afrika cha kufua zahabu kikajengwa, nchi ikaingia uchumi wa kati , mabilionea kama akina Laizer wakaibuka, mapato ya ccm yakatoka million 5 yakafikia billioni 20 kwa mwaka!
Tunamuonya Diallo yeye amekuwa mbunge na waziri kwa miaka 20 lakini hakuna wananchi wanachomkumbuka nacho ni kama tu hajawahi kuwa kiongozi
Ana nguvu ipi wakati alikuwa ameufyata kwa miaka 5
Sindano imegusa mfupa!Katibu wa umoja wa vijana wa CCM Khenan Kihongosi amemuonya mwenyekiti wa ccm mkoa wa Mwanza bwana Diallo kuwa aache upotoshaji mara moja, kitendo cha kusema baadhi ya viongozi waliopita walitakiwa kuwa mirembe ni cha kipotoshaji kwani Diallo yupo kwenye vikao vyote vya maamuzi kwani ni mjumbe wa kamati kuu.
===
CCM imelaani kauli ya kubeza viongozi wastaafu iliyotolewa na mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Mwanza, Antony Diallo katika mahojiano aliyofanya na kituo kimoja cha televisheni nchini.
Kauli hiyo imetolewa leo Jumamosi Julai 10, 2021 na katibu mkuu wa umoja wa vijana wa chama hicho (UVCCM), Kenani Kihongosi katika kikao cha majumuisho ya ziara ya kuimarisha chama inayofanywa na sekretarieti ya chama hicho ikiongozwa na katibu mkuu wa CCM, Daniel Chongolo.
Kihongosi amesema kauli iliyotolewa na kiongozi huyo ni msimamo wake mwenyewe na si wa CCM na kwamba jumuiya ya vijana inalaani kauli zinazotolewa na kiongozi huyo kuwabeza viongozi walioitumikia nchi, akitaka wastaafu hao kuachwa wapumzike.
"Tangu leo asubuhi tumeona ujumbe ukisambaa kwenye mitandao ya kijamii ikinukuu kauli iliyotolewa na mmoja na kiongozi ambaye anaingia kwenye vikao vya maamuzi lakini leo ameamua kutoa kauli hii ambayo imetuchukiza sana vijana kwani tulitegemea wawe wa kwanza kutuongoza, " amesema.
Kihongozi amesema kiongozi huyo wa CCM ambaye ni mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa amenukuliwa akisema viongozi wengine wanaoteuliwa na CCM wanapaswa kuwa hospitali ya magonjwa ya akili ya Mirembe iliyopo mkoani Dodoma.
MWANANCHI