kachumbari
Senior Member
- Nov 1, 2010
- 126
- 9
Kuna tofauti gani kati ya NAPE na MAKAMBA?Haya ni maneno yake Nape Moses Mnauye kwenye ukurasa wake wa Facebook (Uso wa kitabu):
"YAMETIMIA YALIYOTABIRIWA NA MABADILIKO YA BENDERA YA CHADEMA KUONGEZA RANGI NYEKUNDU KATI YA ZINGINE,KUMBE NDO ULIKUWA MWELEKEO?!"
My take, niliamini kwamba ni mtu mwenye mtizamo chanya, kumbe yeye ni mmoja wa walewale, safari bado ni ndefu!!!!!!
Kuna tofauti gani kati ya NAPE na MAKAMBA?
Haya ni maneno yake Nape Moses Mnauye kwenye ukurasa wake wa Facebook (Uso wa kitabu):
"YAMETIMIA YALIYOTABIRIWA NA MABADILIKO YA BENDERA YA CHADEMA KUONGEZA RANGI NYEKUNDU KATI YA ZINGINE,KUMBE NDO ULIKUWA MWELEKEO?!"
My take, niliamini kwamba ni mtu mwenye mtizamo chanya, kumbe yeye ni mmoja wa walewale, safari bado ni ndefu!!!!!!
He is among those who are naive of Tanzania history, Wana ccm walio wengi wanadhani historia ya Tanzania inaanza alipoanzia nyerere, wanasahau kwamba kabla ya hapo mababu na machifu mbalimbali eg Mkwawa, walishapigana wakamwaga damu ili kujikomboa, ndo maana CHADEMA waliongeza rangi nyekundu ili kurekebisha upotofu tuliolishwa na CCM.