UVCCM tupo wengi tukilinde chama chetu kwa nguvu zetu zote

Kimbesa11

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2015
Posts
4,652
Reaction score
2,696
UVCCM tukilinde chama chetu Cha MAPINDUZI kwa nguvu zote.

Tunategemea kuona ma press yakutosha kutoa makanusho mbalimbali Kama huu udini unaoenezwa

KAZI na UTU TUNASONGA MBELE 🇹🇿
 
Kwa kunywa na kufyonza damu ya wanakosoa uovu wenu au wanaopingana na matendo ya ukosefu wa kimaadili na uzalendo kwa taifa letu au mnalindaje hilo lichama la mambo haramu kila eneo?
 
Tutakillnda chama chetu usku na mchana
 
UVCCM tukilinde chama chetu Cha MAPINDUZI kwa nguvu zote.

Tunategemea kuona ma press yakutosha kutoa makanusho mbalimbali Kama huu udini unaoenezwa

KAZI na UTU TUNASONGA MBELE 🇹🇿
Mmeshabeba laana ya damu za watu, itawatafuna na vizazi vyenu
 
chama chenu Magufuli alijitahidi kukirudisha kwenye mioyo ya watanzania na akafanikiwa kwa kiasi fulani.

Ila alivyoondoka tu na nyie kumkabidhi huyu shetani jike wa kizanzibar watanganyika hatutaki hata kukiskia.

Kwani tukiona zile jembe na nyundo inakuwa kama tumeona bunduki SMG na AK47.

Lichama lenu linanuka damu za wasiokuwa na hatia na hakuna namna mnaweza kulisafisha.
 
UVCCM tukilinde chama chetu Cha MAPINDUZI kwa nguvu zote.

Tunategemea kuona ma press yakutosha kutoa makanusho mbalimbali Kama huu udini unaoenezwa

KAZI na UTU TUNASONGA MBELE 🇹🇿
Nyie hamko wengi, mngekuwa wengi chama kina miaka 50 msingetegemea mbeleko ya vyombo vya dola. Ukitaka kujua hamko wengi, fuatilia voters turn out ya kweli kwenye uchaguzi wa juzi. Na hapo mko madarakani mnaombana kujitokeza. Mkitoka madarakani mtathubutu hata kukohoa? Juzi tu mtiti wa siku 2 mbeleko yenu imetingishwa, leo hii hakuna mwanaccm anathubutu kuvaa nguo ya ccm, wala hamthubutu kujitokeza kushangilia ushindi wa kujidanganya.
 
We tindo hujavunjwa miguu kwenye maandamano?
 
Nyie hamko wengi, mngekuwa wengi chama kina miaka 50 msingetegemea mbeleko ya vyombo vya dola. Ukitaka kujua hamko wengi, fuatilia voters turn out ya kweli kwenye uchaguzi wa juzi. Na hapo mko madarakani mnaombana kujitokeza. Mkitoka madarakani mtathubutu hata kukohoa? Juzi tu mtiti wa siku 2 mbeleko yenu imetingishwa, leo hii hakuna mwanaccm anathubutu kuvaa nguo ya ccm, wala hamthubutu kujitokeza kushangilia ushindi wa kujidanganya.
Tupo wengi Sana hapa kila mtu ni mwana CCM
 
UVCCM tukilinde chama chetu Cha MAPINDUZI kwa nguvu zote.

Tunategemea kuona ma press yakutosha kutoa makanusho mbalimbali Kama huu udini unaoenezwa

KAZI na UTU TUNASONGA MBELE 🇹🇿
Tena nyie ndio jamii haitaki kuwaona kabisa. Kusanyiko la chawa tu, uvccm si ya 1980s , hii ya sasa ni chawa tupu
 
Sija kuelewa unataka ukilinde chama cha CCM kwa bunduki na magobore. ?

Chama kina misingi yake siku nyingi ya kulinda UTu wa mTanzania (Binadamu).KAZI na UTu.

Zisimamieni hizo 👆 sera kikamilifu .
 
UVCCM tukilinde chama chetu Cha MAPINDUZI kwa nguvu zote.

Tunategemea kuona ma press yakutosha kutoa makanusho mbalimbali Kama huu udini unaoenezwa

KAZI na UTU TUNASONGA MBELE 🇹🇿
Kahaba kakataliwa hata na waislamu wanao jitambua isipokuwa waislamu maanithi wa akili tu ndiyo mnamuunga mkono.katika kila upumbavu afanyao...mikoa yenye waislamu wengi nao hatukuona foleni za wapiga kura ....mabox ya kura yalibaki yenyewe ......niliwaambia hakuna mtanganyika wakukubali kutawaliwa na mzanzibar tena muarabu koko wa oman ...tanzania siyo koloni la makafiri wa UAE
 
Back
Top Bottom