PreGE2025 UVCCM tunasherehekea miaka minne ya dhahabu ya Dkt. Samia Suluhu Hassan

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

upupu255

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2024
Posts
341
Reaction score
476
Maelfu ya vijana kutoka mikoa mbalimbali nchini, 19 Machi 2025 wamekutana mkoani Morogoro kusherehekea miaka minne ya dhahabu ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Hamasa imekuwa kubwa kutokana na maendeleo makubwa aliyoyafanya Dkt. Samia kwa vijana nchini ambapo leo kunafanyika Kongamano katika Ukumbi wa Tanzanite, Morogoro linaloangazia makubwa yote yaliyofanyika na yanayofanyika na mgeni rasmi ni Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC).

Wanavyuo kwa pamoja tunasema Wasomi Tumekuelewa, Maendeleo Tumeyaona, Dkt. Samia Mgombea Wetu 2025.

1742457010614.jpeg

1742457023430.jpeg
 
Hawa vijana wameajiriwa wapi? Wanafanya kazi Gani? Wanaishi wapi? Wanakula nini??
 
Maelfu ya vijana kutoka mikoa mbalimbali nchini, 19 Machi 2025 wamekutana mkoani Morogoro kusherehekea miaka minne ya dhahabu ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Hamasa imekuwa kubwa kutokana na maendeleo makubwa aliyoyafanya Dkt. Samia kwa vijana nchini ambapo leo kunafanyika Kongamano katika Ukumbi wa Tanzanite, Morogoro linaloangazia makubwa yote yaliyofanyika na yanayofanyika na mgeni rasmi ni Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC).

Wanavyuo kwa pamoja tunasema Wasomi Tumekuelewa, Maendeleo Tumeyaona, Dkt. Samia Mgombea Wetu 2025.

Jina lako upupu? Mbn roho km mwendawazimu
 
Oya, mnaoulizia hao Vijana wako wapi na wanakula nini. Ni hivi:

Hao Vijana wako mkoani Geita anakotokea NWM Mapacha. Madogo wamepewa site ya kuchimba dhahabu. Neno 'miaka ya dhahabu ya ....'ni code language kwamba wanamshukuru mama kwa kuwapa maeneo ya kuchimba kwa wachimbaji wadogo wadogo.

Kama wewe ni kijana na hauna kadi ya CCM sahau kupewa eneo la kuchimba dhahabu. Upendeleo wa kijinga sana huu.
 
Wanachimba meta 30-40 wanakimbia mashimo
Hawana vitendea kazi
 
Back
Top Bottom