UVCCM ni mzigo na hasara kwa taifa

UVCCM ni mzigo na hasara kwa taifa

Bavicha wapo frustrated,hawana viongozi imara wa kufanya counter attacks na kutoa dira mpya,wamebakia kutoa statement za kulia lia.
Siasa yataka uongozi shupavu sio ujanja ujanja tu wa kutegemea maandamano
Kila kukicha mnapigwa za chembe kila kona mbumbumbu nyie

In God we trust
 
Duniani kote vijana wenye uwezo mkubwa wa kujenga hoja na kufikiri sahihi ndio wamekuwa msaada mkubwa sana kwa mataifa yao.

Marakadhaa vijana wamekuwa mstari wa mbele kupinga aina yeyote ya ukandamizaji na uvunjwaji wa katiba za nchi zao jambo ambalo lisipokemewa linaweza kupelekea uvunjifu wa amani kwa nchi zao.

Hivi karibu kumekuwa na tabia mbaya isiyoweza kuvumilika na mtu yeyote yule mpenda haki na usawa katika taifa lake, miezi michache iliyopita Serikali ya Ccm chini ya Raisi Magufuli imepiga marufuku mikutano ya vyama vya siasa, lakini katazo hilo linaonekana limelenga zaidi vyama vya upinzani na Mabara yake,ile hali Ccm na mabara yao ya vijana,wazee na wanawake wanaendelea kufanya mikutano ya hadhara na vikao vya ndani.

Ni kukosa haya kwa kiongozi kama Shaka A Shaka Kaimu Katibu wa UVCCM taifa,kukana kuwa hajawahi kufanya mikutano ya hadhara, ile hali amefanya hivyo Katavi,Tabora,Bagamoyo na kwingineko .

Hoja ya Shaka kuwa vyama vya upinzani na Mabaraza yake wanashindwa kufanya vikao vya ndani kwa kuwa hawana ofisi ni hoja dhaifu na niyamtu alievimbiwa madaraka, anatakiwa kujua kikao cha ndani sio lazima kifanyike katika ofisi ya chama husika na kama tafsiri yake ya vikao vya ndani inamtuma ni katika ofisi tu , wanaojua maana ya vikao vya ndani wanapata picha pana ya uwezo wa akili yake ilivyo ndogo na nafasi aliyonayo kisiasa.

Katika mazungumzo yake shaka amegusia mikutano ya hadhara kuzuiliwa kwamba anaunga Mkono na akatolea mfano wa nchi kama marekani, hii pia ni dalili nyingine ya uvimbe kwenye ubongo alionao Shaka, maana amesahau kabisa kuwa Katiba ya nchi yetu na sheria ya vyama vya siasa inaruhusu vyama vya siasa kufanya siasa wakati wote bila kuzuiliwa.

Aina hii ya vijana wasiojua misingi ya sheria na utawala bora ni hatari kubwa sana kwa taifa, vijana tunanafasi kubwa sana kulitumikia taifa hivyo ni vyema tukasimama imara kusimamia katiba ili kuandaa nchi itakayoongozwa kwa kufuata Katiba.

Imetolewa na,

*Edward Simbeye*
Katibu Mwenezi *BAVICHA* Taifa.
Unategemea nini kutoka kwa vijana wa sampuli hii kama si usanii ni nini.
FB_IMG_1501351286631.jpg
 
Yaa CHADEMA ya LOWASA isingeyafanya ya kuondoa wafanyakazi hewa, kuwabana wakwepa kodi, kubadili sheria za umiliki wa rasilimali za TAIFA ili ziwe mikononi mwetu.
Ukishabikia haya kwenye chama chetu na LOWASA lazima mshipa wa aibu uwe umekatika.

Kumtetea Zero Brain wa dalesalama [emoji23]
 
Lizaboni namtafuta wala hapatikani sijui yuko wapi

In God we trust

hahhaha lizabon kalala mbele toka wafukue Uzi wake aliokuwa anawatetea wakina Seth na lugemarila + muhongo huenda kafungua account ingine
 
Wote nawaona hampo sawa
CCM wanatetea yote yanayofanywa na CCM, na wakati huo huo wanapinga ya CHADEMA

CHADEMA nao wanafanya kinyume na CCM.
 
Duniani kote vijana wenye uwezo mkubwa wa kujenga hoja na kufikiri sahihi ndio wamekuwa msaada mkubwa sana kwa mataifa yao.

Marakadhaa vijana wamekuwa mstari wa mbele kupinga aina yeyote ya ukandamizaji na uvunjwaji wa katiba za nchi zao jambo ambalo lisipokemewa linaweza kupelekea uvunjifu wa amani kwa nchi zao.

Hivi karibu kumekuwa na tabia mbaya isiyoweza kuvumilika na mtu yeyote yule mpenda haki na usawa katika taifa lake, miezi michache iliyopita Serikali ya Ccm chini ya Raisi Magufuli imepiga marufuku mikutano ya vyama vya siasa, lakini katazo hilo linaonekana limelenga zaidi vyama vya upinzani na Mabara yake,ile hali Ccm na mabara yao ya vijana,wazee na wanawake wanaendelea kufanya mikutano ya hadhara na vikao vya ndani.

Ni kukosa haya kwa kiongozi kama Shaka A Shaka Kaimu Katibu wa UVCCM taifa,kukana kuwa hajawahi kufanya mikutano ya hadhara, ile hali amefanya hivyo Katavi,Tabora,Bagamoyo na kwingineko .

Hoja ya Shaka kuwa vyama vya upinzani na Mabaraza yake wanashindwa kufanya vikao vya ndani kwa kuwa hawana ofisi ni hoja dhaifu na niyamtu alievimbiwa madaraka, anatakiwa kujua kikao cha ndani sio lazima kifanyike katika ofisi ya chama husika na kama tafsiri yake ya vikao vya ndani inamtuma ni katika ofisi tu , wanaojua maana ya vikao vya ndani wanapata picha pana ya uwezo wa akili yake ilivyo ndogo na nafasi aliyonayo kisiasa.

Katika mazungumzo yake shaka amegusia mikutano ya hadhara kuzuiliwa kwamba anaunga Mkono na akatolea mfano wa nchi kama marekani, hii pia ni dalili nyingine ya uvimbe kwenye ubongo alionao Shaka, maana amesahau kabisa kuwa Katiba ya nchi yetu na sheria ya vyama vya siasa inaruhusu vyama vya siasa kufanya siasa wakati wote bila kuzuiliwa.

Aina hii ya vijana wasiojua misingi ya sheria na utawala bora ni hatari kubwa sana kwa taifa, vijana tunanafasi kubwa sana kulitumikia taifa hivyo ni vyema tukasimama imara kusimamia katiba ili kuandaa nchi itakayoongozwa kwa kufuata Katiba.

Imetolewa na,

*Edward Simbeye*
Katibu Mwenezi *BAVICHA* Taifa.

Haya hii ndio akili ya Kiongozi wa juu wa Chama, kweli ujinga ni hasara.

Tofauti ni Madaraka, CDM mnapinga kila kitu cha CCM, CCM wanakubali kila kitu CHAO

Na nyie mnakubali kila kitu kinachofanywa na Viongozi wenu, ila hamlioni hili kazi kuwalaumu wenzenu, SAVAGE Kabisa.

Yaani, unakuta mnalalama CCM inawaonea raia wake, alafu wakati huohuo mnatamani CCM iondolewe kwa damu. Hasa mna afhadhali gani kuwazidi na hao CCM.

Mnasema mnataka na mnasimamia Demokrasia, ila mlishangilia uchaguzi wa TLS. Kwa sababu Tundu Lissu alishinda.
 
Usiseme hivyo mkuu watu wanamaliza vyuo vikuu hawana ajira wanakadi ya chama njia pekee kukitetea chama wakuone hata kwa mabaya ilimradi njia ya kwenda chooni isiote nyasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom