Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,076
- 6,774
UVCCM hawawezi kuwa mzigo kuwakuta bavichaa, kupelekwa kufuata upepo kulazimishwa kuwasafisha watu wachafu, na kupinga kila kitu wakati vingine wanavikubali.
Kweli cdm ina benki maridadi ya hazina ya viongoziDuniani kote vijana wenye uwezo mkubwa wa kujenga hoja na kufikiri sahihi ndio wamekuwa msaada mkubwa sana kwa mataifa yao.
Marakadhaa vijana wamekuwa mstari wa mbele kupinga aina yeyote ya ukandamizaji na uvunjwaji wa katiba za nchi zao jambo ambalo lisipokemewa linaweza kupelekea uvunjifu wa amani kwa nchi zao.
Hivi karibu kumekuwa na tabia mbaya isiyoweza kuvumilika na mtu yeyote yule mpenda haki na usawa katika taifa lake, miezi michache iliyopita Serikali ya Ccm chini ya Raisi Magufuli imepiga marufuku mikutano ya vyama vya siasa, lakini katazo hilo linaonekana limelenga zaidi vyama vya upinzani na Mabara yake,ile hali Ccm na mabara yao ya vijana,wazee na wanawake wanaendelea kufanya mikutano ya hadhara na vikao vya ndani.
Ni kukosa haya kwa kiongozi kama Shaka A Shaka Kaimu Katibu wa UVCCM taifa,kukana kuwa hajawahi kufanya mikutano ya hadhara, ile hali amefanya hivyo Katavi,Tabora,Bagamoyo na kwingineko .
Hoja ya Shaka kuwa vyama vya upinzani na Mabaraza yake wanashindwa kufanya vikao vya ndani kwa kuwa hawana ofisi ni hoja dhaifu na niyamtu alievimbiwa madaraka, anatakiwa kujua kikao cha ndani sio lazima kifanyike katika ofisi ya chama husika na kama tafsiri yake ya vikao vya ndani inamtuma ni katika ofisi tu , wanaojua maana ya vikao vya ndani wanapata picha pana ya uwezo wa akili yake ilivyo ndogo na nafasi aliyonayo kisiasa.
Katika mazungumzo yake shaka amegusia mikutano ya hadhara kuzuiliwa kwamba anaunga Mkono na akatolea mfano wa nchi kama marekani, hii pia ni dalili nyingine ya uvimbe kwenye ubongo alionao Shaka, maana amesahau kabisa kuwa Katiba ya nchi yetu na sheria ya vyama vya siasa inaruhusu vyama vya siasa kufanya siasa wakati wote bila kuzuiliwa.
Aina hii ya vijana wasiojua misingi ya sheria na utawala bora ni hatari kubwa sana kwa taifa, vijana tunanafasi kubwa sana kulitumikia taifa hivyo ni vyema tukasimama imara kusimamia katiba ili kuandaa nchi itakayoongozwa kwa kufuata Katiba.
Imetolewa na,
*Edward Simbeye*
Katibu Mwenezi *BAVICHA* Taifa.
Lizaboni namtafuta wala hapatikani sijui yuko wapiwakina lizaboni na jingalao
Uvccm wanaganga njaa tu wala hakuna mwenye mapenzi thabiti na chama chaoTatizo njaa kwa vijana wetu
Unaiabisha serikali yako kwa kushindwa kumkamata huyo fisadi papaMzigo ni bavicha mlioridhia fisadi Papa ambalo chadema lilitangaza kuwa ni fisadi Papa Na mkaliweka website ya chadema na kulitangaza fisadi miaka 20 ghafla mkalilamba miguu na kulipa ugombea uraisi. Nyooo nyie Ndio mizigo
Naionea huruma ccm kuwategemea watu wa aina yakoHa!ha! BAVICHA hawaeleweki hata wako wapi Masikini hata Frame ya sh.50,000 iwe kama ofisi imewashinda kudadeki.
Wanazidi kujitokeza ili kuupa uhalali huu uzindo hayo jamaa anaongea nyie mizigo umeandika nini sasa unamkamata Seth na lugemarila unamwacha lowasa wakat mnajua fisadi hizo akili au matope?
Ndio kuburuzwa huko maana kijana inabidi ajitambue na asiwe mzigo kwa chamaVijana ndani ya chama hasa tawala, wameonywa kutosema ukweli, kwa madai kuwa chama kitadondoka! Masisiemu
Nasikia wakimpokea mwanachama lazima afanyiwe upasuajiKutetea yanayofanywa na Chichiemu lazima mshipa wa aibu uwe umekatika![]()
Umesahau kina Mramba walifungwa na kupewa kazi ya kupanga mafaili ofisiniMnapiga kelele tumekamata mwizi Siku mbili yuko huru.Masamaki mliyempigia baraghumu na vinanda Leo anarudi kwa ofisi yake.
Uhakika CCM ni chama Cha Majambazi
Sasa hapo ndio umeandika madudu gani wewe mbwiga?Subiri Time will no stone will be left unturned
Ukisikia kuchanganyikiwa basi wewe ndiyo umechanganyikiwaWakapinwe akina lisu mbowe mnyika msigwa na lema waliosema lisu fisadi wakageuka wasipimwe mkojo tu bali na haja kubwa pia
BAVICHA utawalinganisha na uoza wa lumumba?
Ujumbe umewafikia wahusikaSio UVCCM tu hata chama chao mama nacho ni matatizo.....
wazee wao ni watu ovyo kabisa, lakini sio kesi WAPUUZI nao WATU.
Sera wanazo uvccm za kuwa kama benderaTukiacha mambo ya ushabiki wa vyama. Vijana wa bavicha hawana sera kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Umegonga penyewe kiongiziTangu Mwl angatuke madarakani ccm haijawahi kuwa na kijana mwnye akili. Ndio maana tunapata viongozi reject. Huwezi kuwa kiongozi wa maana kwa kufikiria kwa kutumia tumbo. Vijana wote wa ccm kwa sasa wanafikiri kwa kutumia tumbo tu na wengine wanatumia alichosema masaburi
Nyie mlijenga lini zaidi ya kujimilkisha Mali za umma na kasema zenu. Viwanja na ofisi zote zilikua michango ya wananchi. Ttzo Unyumbu unakusumbuaHa!ha! BAVICHA hawaeleweki hata wako wapi Masikini hata Frame ya sh.50,000 iwe kama ofisi imewashinda kudadeki.
Kakojoe ulale maana shuka yenyewe mojaYaa CHADEMA ya LOWASA isingeyafanya ya kuondoa wafanyakazi hewa, kuwabana wakwepa kodi, kubadili sheria za umiliki wa rasilimali za TAIFA ili ziwe mikononi mwetu.
Ukishabikia haya kwenye chama chetu na LOWASA lazima mshipa wa aibu uwe umekatika.