Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 28,749
- 91,814
Tunawakaribisha sanaaa kwenye MAANDAMANO ya Tuliouliwa Ndugu zetu, karibuni sana kwenye MAANDAMANO ya sisi tunaowatafuta Maiti zetu, Karibuni sana kwenye MAANDAMANO ya Sisi ambao Maiti zetu zimechomwa na kuyeyushwaaaa hata zisionekane.
Karibuni Sanaa sanaaaaa .
Na sisi Maandalizi yetu yamekamilika vizuri tu !!.
Tutalala nanyinyi kimlalo ulalo !!.
Karibuni Sanaa sanaaaaa .
Na sisi Maandalizi yetu yamekamilika vizuri tu !!.
Tutalala nanyinyi kimlalo ulalo !!.