PreGE2025 UVCCM Mtwara Mjini Wachangia Chupa 18 za Damu kwa Wenye Uhitaji

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,436
Reaction score
5,234
Vijana wa Chama Cha Mapinduzi CCM (UVCCM) wilaya ya Mtwara Mjini wamechangia chupa 18 za damu kwaajili ya kusaidia watu ambao wanauhitaji wa damu.

Akizungumza kwa niaba ya Meneja wa damu salama Kanda ya Kusini Innocencia Charles mara baada ya kukamilika kwa zoezi hilo amesema chupa hizo 18 zitasaidia kusaidia watu wazima wenye uhitaji 18 na kwa watoto itasaidia 32.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Ameongeza kuwa jambo la kutoa damu lisiishie tu kwa kundi hilo la vijana bali hata kwa makundi mengine wajitokeze kwaajili ya kutoa damu ili iwe msaada kwa wale wenye uhitaji na kujiwekea akiba kwa mtoaji.

Pia amesema walitegemea kupata chupa 70 za damu ila kutokana na vigezo mbalimbali vya utoaji damu wapo vijana ambao wameshindwa kutoa damu kwa kutokidhi vigezo.
 
Damu hii haikosi laana.
Maana UVCCM wa siku hizi ndio watekaji na wauaji.
Tunaua chama chetu wenyewe.
 
Ni Jambo la kupongezwa
 
Damu hii haikosi laana.
Maana UVCCM wa siku hizi ndio watekaji na wauaji.
Tunaua chama chetu wenyewe.
IMG_6415.jpeg
 
Vijana wa Chama Cha Mapinduzi CCM (UVCCM) wilaya ya Mtwara Mjini wamechangia chupa 18 za damu kwaajili ya kusaidia watu ambao wanauhitaji wa damu.

Akizungumza kwa niaba ya Meneja wa damu salama Kanda ya Kusini Innocencia Charles mara baada ya kukamilika kwa zoezi hilo amesema chupa hizo 18 zitasaidia kusaidia watu wazima wenye uhitaji 18 na kwa watoto itasaidia 32.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Ameongeza kuwa jambo la kutoa damu lisiishie tu kwa kundi hilo la vijana bali hata kwa makundi mengine wajitokeze kwaajili ya kutoa damu ili iwe msaada kwa wale wenye uhitaji na kujiwekea akiba kwa mtoaji.

Pia amesema walitegemea kupata chupa 70 za damu ila kutokana na vigezo mbalimbali vya utoaji damu wapo vijana ambao wameshindwa kutoa damu kwa kutokidhi vigezo.
Damu zenye damu za watu. Watakaopewa lazima wataa5hirika tu.
 
Nimetokea kukichukia chama changu CCM uchawa ndio uko mbele haimpendezi mwenyezi Mungu, imefikia mahali chawa ndio anayethaminiwa kuliko wasema ukweli
 
Vijana wa Chama Cha Mapinduzi CCM (UVCCM) wilaya ya Mtwara Mjini wamechangia chupa 18 za damu kwaajili ya kusaidia watu ambao wanauhitaji wa damu.

Akizungumza kwa niaba ya Meneja wa damu salama Kanda ya Kusini Innocencia Charles mara baada ya kukamilika kwa zoezi hilo amesema chupa hizo 18 zitasaidia kusaidia watu wazima wenye uhitaji 18 na kwa watoto itasaidia 32.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Ameongeza kuwa jambo la kutoa damu lisiishie tu kwa kundi hilo la vijana bali hata kwa makundi mengine wajitokeze kwaajili ya kutoa damu ili iwe msaada kwa wale wenye uhitaji na kujiwekea akiba kwa mtoaji.

Pia amesema walitegemea kupata chupa 70 za damu ila kutokana na vigezo mbalimbali vya utoaji damu wapo vijana ambao wameshindwa kutoa damu kwa kutokidhi vigezo.
Hawana jipya
 
Back
Top Bottom