UVCCM Morogoro wampinga Malecela

makamanda kuna jambo nimebaini.ukitaka kuwagawa buku 7 ktk thread,anzisha mada inayohusu harakati za EL 2015.wanapotezana muelekeo kama kunguru waliokurupushwa.no team work no team spirit ktk kuchangia.
#Lowassa4Presidency2015 .
 
Malumbano yanayoendelea ni katika kukua kwa demokrasia ndani ya chama. Siasa si uadui kama ilivyo ndani ya CHADEMA

Mtu anapo elekea kufa ni lazima kwanza ufahamu umutoke.CCM ina kufa ufahamu wote umeshaondoka wanajiona wanapanua demokrasia wakati ndiyo safari ya kwenda motoni imeanza.Chama kina miaka zaidi ya 30 eti ndiyo wanapanua demokrasia wakati chama ndiyo kina kufa.Kalale motoni CCM chama cha baba wa Taifa.
 
kumbe baba wa taifa alisema Marecela akigombea urais atarudisha kad?
 
Lowasa ni mwanasiasa muoga

Mkuu najua huu ni mtazamo wako, lakini naomba nipingane na wewe kama ilivyo jadi yetu CCM kuwa na mawazo tofauti tofauti. Lowassa ni Kiongozi muoga kama unavyosema. Lowasa ni mtu wa maamuzi magumu siku zote, na maamuzi magumu hayafanywi na muoga.
 
Huyu wa Morogoro aliitisha lini kikao cha uvccm wakatoa tamko hili? Nadhani nae Hana tofauti na Makonda wote wametoa matamko Yao sawa na mzee malecela.
yote Mizigo

Noti
 
CCM ilipofikia hakuna anae weza kuiokoa hata shetani hawezi kuiokoa ni lazima ife.
 
Mbona nyie mmetoa tamko acheni na wengine watoe matamko yao.
 
...Hapo kwenye red ni typing error au?
 
Mkuu najua huu ni mtazamo wako, lakini naomba nipingane na wewe kama ilivyo jadi yetu CCM kuwa na mawazo tofauti tofauti. Lowassa ni Kiongozi muoga kama unavyosema. Lowasa ni mtu wa maamuzi magumu siku zote, na maamuzi magumu hayafanywi na muoga.

Lowasa ana jinadi kuwa ana maamzi magumu maamuzi ambayo CCM hawana na hiki ndicho kinacho wagharim CCM ambao walitakiwa wachukuwe maamzi magumu kwa kumfukuza Lowasa.Sasa Lowasa mzee wa maamzi magumu ameanza kuchukua maamzi magumu ya kukisambaratisha chama.
 
sheikh wa mkoa wa dar es salaam ameshalitolea ufafanuzi mimi sina la ziada,umoja wa vijana kila mtu ni msemaji
 
mbona wewe ulipotoa kashfa kwa kiongozi wako wa chama enzi hizo akiwa naibu katibu mkuu hukuchukuliwa hatua? halafu kwa kosa hilo hilo la zitto kukashifu uongozi yamemkuta.......
Chadema itakufa kabla ya CCM

CCM ilisha kufa zamani hiki kinachoendelea ndani ya CCM ni maandalizi ya kuizika rasimi.
 
mbona wewe ulipotoa kashfa kwa kiongozi wako wa chama enzi hizo akiwa naibu katibu mkuu hukuchukuliwa hatua? halafu kwa kosa hilo hilo la zitto kukashifu uongozi yamemkuta.......
Chadema itakufa kabla ya CCM

Nilipewa adhabu.Nilitoa tuhuma za ukweli katika kujibu tuhuma zake za uongo.Hayo mambo ya Naibu katibu Mkuu wa Zamani nilifungiwa kugombea uongozi kwa muda wa mwaka mmoja.Nilisema kitu cha kweli ambacho kamati kuu baadae ilikuja kumkuta na hatia.Adhabu yangu imekwisha
 
Mkuu najua huu ni mtazamo wako, lakini naomba nipingane na wewe kama ilivyo jadi yetu CCM kuwa na mawazo tofauti tofauti. Lowassa ni Kiongozi muoga kama unavyosema. Lowasa ni mtu wa maamuzi magumu siku zote, na maamuzi magumu hayafanywi na muoga.
buku7 vs buku7. lmao
#Lowassa4Presidency2015 .
 
Lowasa ni zaidi ya kimbunga.

Lowasa ni kiboko ya chadema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…