UVCCM: Magufuli akubalika asilimia 85

UVCCM: Magufuli akubalika asilimia 85

Co mbaya kujipa matumaini maana ucjekufa kwa Bp
Pipoooooooooooooooooo.....................
 
Eti Lowassa kuna maeneo hajaenda,

Well, when you see your enemy complaining about your action, know that you are on the right track.
 
Self qualification is no qualification. UVCCM hawawezi kujitathmini wenyewe.
 
DSC00020.jpg
 
Dah sio mchezo! utafiti umefanywa na uvccm.Ila kujifariji nako sio mbaya.
 
Utafiti Umefanywa Na UVCCM; Hii Ni Sawa Na Kujitekenya Na Kucheka Mwenyewe. So CCM Wanajitekenya Na Kucheka

Wenyewe.
 
UVCCM waangalie watafukuzwa uongozi! Kwa nini wasiseme ni 100% kwa mikoa 20?
 
IQ ya waandishi wa hili gazeti itakuwa very below avarage
 
Ccm uongo ni jadi yao,na wamezoea kudanganywa refer rais wao anasema picha ni za kuunga
 
Back
Top Bottom