kilombero yetu
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 1,004
- 117
Asenga Morogoro
Ukawa endeleeni kutetea MafisadiView attachment 353797
Maana jana walikutenga kwenye mkutano wako mbaghala
Abubakar Asenga akizungumza juzi mvomero alisema
"Achaneni na wauza maneno fanyeni kazi kujiletea maendeleo
Hawa hawana ajenda ya maendeleo bali siasa za kudakia changamoto
Jana walisema waziri yule rafiki wa Rais hawezi kutumbuka tukawaambia hamjui Rais Magufuli
Leo sio ajenda yao
Leo Sukari....likiisha hili watakuja kusema kwanini Rais hapandi ndege
Likiisha watakuja na la kwanini Rais hasafiri nje
Kisha watasema mbona mke wa Rais kama Mnyaruanda
Wakimaliza watakuja na Mbona Rais Magufuli Mweusi Kikwete alikuwa mweupe?
Wametilisika hoja
Wapuuzeni
Kama kanuni za bunge ziliwaonea wakakate rufaa kule
Hawajui hii ni 2016 wanafanya mbinu za kutoka kisiasa za 2000
Ata mshauri wao Pro Kitilya Mkumbo aliwaambia
"Katika zama za rais Magufuli...upinzani wa kusubiri makosa ya CCM utakufa kifo cha mende.."
Fanyeni kazi mpate ugali wetu uchaguzi mkuu tena ni hadi 2020
Asanteni sana wana Morogoro
Tutazunguka nchi nzima kuwafichua wadudu hawa
HAPA KAZI TU