UVCCM Arusha wafunga ofisi za Mkoa

Mkya

JF-Expert Member
Dec 15, 2013
667
94
Juzi siku ya jumamosi uvccm mkoa wa Arusha walifungiana ofisi baada ya kubaini kuwa kuna ubadhilifu Wa shilingi milioni kumi na tatu ziliziliwa na Mwkt na Katibu wake

Wajumbe walipokuja kwenye kikao na kuikuta hali ya pesa zao hazito zimeliwa waliende kununua kofuli na kuifunga ofisi

Baada ya kufunga Katibu Wa Mkoa huo Wa vijana aliulizwa kwani hili limetokea akajibu waliyofunga ofisi ni majangili na wanataka kunifundisha Kazi baada ya kuwakatalia vitu vyao feki ikiwa ni Pamoja na mtandao wao Wa uraisi

1.Mwenyekiti alitaka nimlipe laki tano Kama posho ya mwezi nikamkatalia

2.Mwenyekiti alitaka kunilazimisha kuvunja kanuni kwa kuunda kamati feki ya uchumi bila Baraza kuridhia nikakataa

3.Kuna mpango Wa kumleta mwekezaji Wa kihindi aje kuwekeza jengo kubwa mkataba ambao utatupeleka miaka MIA bila faida kwa vijana na tayari wameshaa ahidiwa shilingi milioni MIA mwenyekiti na wenzake mm nimekataa maana sitaki history ije kunihukumu.

4. Mgogoro Wa kamanda meru mwentekiti ametengeneza kamanda wake tofauti na ambaye vijana wanamtaka wilaya ya meru jambo ambalo kwenye ziara ya mangula watu wameru walisemawazi kuwa anayevuruga siasa ya meru ni mwenyekiti Wa Mkoa Mgogoro huo kwa sasa umeingiliwa na kambi za ubunge na urais.

Nawatakia mgogoro mwema UVCCM Mkoa Wa Arusha
 
Umoja wa vibaka chama cha mapinduzi..UVCCM

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Kuvunjika kwa pakacha......
Waache wafu wawazike wafu wao
Ya Ng'oswe mwachie ......
 
wewe juzi si ulianzisha thread kuwa chadema wafunga ofisi za umoja wa vichaa wa chama cha nyinyiemu.....!!!!

leo umebadilisha hahahaha

TUNAZINDUA OPERATION DELETE FUTA KABISA CCM ARUSHA LEO mtaisoma namba
 
CCM 2.jpg Baadhi ya wajumbe wa UVCCM Mkoa wa Arusha wakisikiliza maazimio yaliyofikiwa na mkutano huo yakisomwa mbele ya waandishi wa habari hawapo pichani
 
Mgogoro mkubwa umeibuka ndani ya UVCCM Mkoa wa Arusha baada ya mwenyekiti Robison Meitinyiki kufunga ofisi ya karibu wake,pia ametangaza kumfukuza kazi yeye na wahudumu wote katika ofisi hiyo akiwemo dereva wa umoja huo,

Hata hivyo karibu wake Gerad Mwadalu amejibu mapigo kwa kueleza kuwa yeye bado karibu halali ,mwenyekiti hana ubavu wa kumfukuza kwani kikao kilichoketi jana kilijaa wahuni akiwemo jambazi sugu Jumanne Mjusi anayetumiwa na CCM. Mbunge Lowassa anatuhumiwa kumpa jeuri ya Fedha Mwenyekiti kwa kufadhili mpango wa kumwondosha katibu wa umoja huo
 
Mgogoro mkubwa umeibuka ndani ya UVCCM Mkoa wa Arusha baada ya mwenyekiti Robison Meitinyiki kufunga ofisi ya karibu wake,pia ametangaza kumfukuza kazi yeye na wahudumu wote katika ofisi hiyo akiwemo dereva wa umoja huo,hata hivyo karibu wake Gerad Mwadalu amejibu mapigo kwa kueleza kuwa yeye bado karibu halali ,mwenyekiti hana ubavu wa kumfukuza kwani kikao kilichoketi jana kilijaa wahuni akiwemo jambazi sugu Jumanne Mjusi anayetumiwa n'a ccm.mbunge Lowasa anatuhumiwa kumpa jeuri ya Fedha Mwenyekiti kwa kufadhili mpango wa kumwondosha katibu wa umoja huo

majungu plus umbeya =kaz ya chadema
 
Mgogoro mkubwa umeibuka ndani ya UVCCM Mkoa wa Arusha baada ya mwenyekiti Robison Meitinyiki kufunga ofisi ya karibu wake,pia ametangaza kumfukuza kazi yeye na wahudumu wote katika ofisi hiyo akiwemo dereva wa umoja huo,

Hata hivyo karibu wake Gerad Mwadalu amejibu mapigo kwa kueleza kuwa yeye bado karibu halali ,mwenyekiti hana ubavu wa kumfukuza kwani kikao kilichoketi jana kilijaa wahuni akiwemo jambazi sugu Jumanne Mjusi anayetumiwa na CCM. Mbunge Lowassa anatuhumiwa kumpa jeuri ya Fedha Mwenyekiti kwa kufadhili mpango wa kumwondosha katibu wa umoja huo

.
Yethu wangu yaan bado lile jambazi sugu linalotumiwa na sisiem kuua watu bado liko huru uraiani?
Wana Arusha jihadharini kila mnapotoka tembeeni wawili wawili.
.
 
Juzi siku ya jumamosi uvccm mkoa wa Arusha walifungiana ofisi baada ya kubaini kuwa kuna ubadhilifu Wa shilingi milioni kumi na tatu ziliziliwa na Mwkt na Katibu wake

Wajumbe walipokuja kwenye kikao na kuikuta hali ya pesa zao hazito zimeliwa waliende kununua kofuli na kuifunga ofisi

Baada ya kufunga Katibu Wa Mkoa huo Wa vijana aliulizwa kwani hili limetokea akajibu waliyofunga ofisi ni majangili na wanataka kunifundisha Kazi baada ya kuwakatalia vitu vyao feki ikiwa ni Pamoja na mtandao wao Wa uraisi

1.Mwenyekiti alitaka nimlipe laki tano Kama posho ya mwezi nikamkatalia

2.Mwenyekiti alitaka kunilazimisha kuvunja kanuni kwa kuunda kamati feki ya uchumi bila Baraza kuridhia nikakataa

3.Kuna mpango Wa kumleta mwekezaji Wa kihindi aje kuwekeza jengo kubwa mkataba ambao utatupeleka miaka MIA bila faida kwa vijana na tayari wameshaa ahidiwa shilingi milioni MIA mwenyekiti na wenzake mm nimekataa maana sitaki history ije kunihukumu.

4. Mgogoro Wa kamanda meru mwentekiti ametengeneza kamanda wake tofauti na ambaye vijana wanamtaka wilaya ya meru jambo ambalo kwenye ziara ya mangula watu wameru walisemawazi kuwa anayevuruga siasa ya meru ni mwenyekiti Wa Mkoa Mgogoro huo kwa sasa umeingiliwa na kambi za ubunge na urais.

Nawatakia mgogoro mwema UVCCM Mkoa Wa Arusha

Kwa hiyo ww umeanza kusariti chama chetu ccm au?
 
Mgogoro mkubwa umeibuka ndani ya UVCCM Mkoa wa Arusha baada ya mwenyekiti Robison Meitinyiki kufunga ofisi ya karibu wake,pia ametangaza kumfukuza kazi yeye na wahudumu wote katika ofisi hiyo akiwemo dereva wa umoja huo,

Hata hivyo karibu wake Gerad Mwadalu amejibu mapigo kwa kueleza kuwa yeye bado karibu halali ,mwenyekiti hana ubavu wa kumfukuza kwani kikao kilichoketi jana kilijaa wahuni akiwemo jambazi sugu Jumanne Mjusi anayetumiwa na CCM. Mbunge Lowassa anatuhumiwa kumpa jeuri ya Fedha Mwenyekiti kwa kufadhili mpango wa kumwondosha katibu wa umoja huo

Umeandika kimasai kabisa karibu=katibu but its okay endelea kutuhabarisha
 
mwenyekiti mwenye busara hawezi kufunga ofisi bali atafuata sheria kama katibu anatuhuma lkn huyu ni mwenyekiti feki.
 
Back
Top Bottom